Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Hakuna kituNaomba kuDeclare interest kuwa tangu nizaliwe mpaka utu uzima huu sijawahi kusex na malaya. Nasikia story kuwa malaya watamu na wanastyle za kunogesha ngono kinoma.
Tatizo langu naamini kuwa kila malaya ni mgonjwa ama wa HIV au STD kama gono, kaswende nk. Wakati huo huo napenda sex ya nyama kwa nyama. Ndom inaharibu ladha.
Nifanyeje nifaidi penzi la malaya bila kujihatarisha?