Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,704
We muongo msichana sio rahisi kukosa mwanaume wa kufanya vitu hivyo shetani wakati yeye ndo kichochezi wa hayo mambo.Kila nikipanga yani ndio tunaelekea tunaelekea kupata mautamu shwaaaaaa shetani anapita anavuruga mipango