Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Shukrani kwa maelekezo, unajua umri huu wa 78 huwa tunahisi hatustahili kufurahia maisha.Kvla vzuri na ushibe, yaani usijivunge kwenye kula, pia mazoezi mepesimepesi, epuka junk foods, moto utapekeka vzuri tu mkuu wangu.
Ndiyo maana naweza kukaa mwaka Mzima nisiwe na hisia na Mwanamke, kumbe kuna Wazee wenzangu bado wanapeleka moto kama vijana.
Wacha nianze kufanya mazoezi ya kutembea umbali mrefu ili kujiweka fit