Ipi ni 'sexual fantasy' yako?
Wapo, ila mie nawafahamu 3, m1 kwa sasa yuko Nairobi, ila wawili wako hapa Dsm.

Tunawafahamu sisi ambao tuko ktk cycle yao, maana wabongo kwa ubaguzi hamjambooo.

Kwan vipii?
Sasa hao Wana shiriki vp ngono?? [emoji848]
 
Wapo, ila mie nawafahamu 3, m1 kwa sasa yuko Nairobi, ila wawili wako hapa Dsm.

Tunawafahamu sisi ambao tuko ktk cycle yao, maana wabongo kwa ubaguzi hamjambooo.

Kwan vipii?
Kwa maana ya kuwasaidia au kwa maana ya circle yao? Sorry kama swali langu litaleta shida ya tafsiri.
 
Yule sio shemale ni shoga kanywa madude ngozi imekuwa laini na vichuchu vimetoka.
sasa akimuona James wa Banana, ndo atasema shemale huyu hapa, kumbe ni bottom aliyeota chuchu, amekua km mdada, na ile lifestyle yake, anawapiga wengi balaaa.

Mwenyewe anajiiita Jennifer Lopez (JLO)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila Dunia jamani, woiiiiiih
 
sasa akimuona James wa Banana, ndo atasema shemale huyu hapa, kumbe ni bottom aliyeota chuchu, amekua km mdada, na ile lifestyle yake, anawapiga wengi balaaa.

Mwenyewe anajiiita Jennifer Lopez (JLO)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila Dunia jamani, woiiiiiih

Ndio unakuta Watu wanapigwa wanaambiwa shemale [emoji23][emoji23][emoji23]hapa mjini usipokuwa makini kitu cha 100 Unauziwa million.
 
Ndio unakuta Watu wanapigwa wanaambiwa shemale [emoji23][emoji23][emoji23]hapa mjini usipokuwa makini kitu cha 100 Unauziwa million.
wana download picha mtandaoni na kujifanya ndiyo wao ....
kwa sababu nchi yetu haija ruhusu shemale.. sija jua kama ipo siku mloganzila wata anza mishe hizo. pia sijajua kama mwanaume akitaka kurekebisha shape inakuwaje..?!
 
Kuna mtu alisema simu/mitandao inachangia kuongeza magonjwa ya afya ya akili, upweke na hofu ya maisha, hilo ni kweli kabisa, Tujitahidi kila mwaka kukaa nje ya mitandao yote japo kwa miezi mitatu, muda huo tuwe busy na vitabu tu itatujenga sana (Ambao tumesikitishwa na comments za humu).

Ninayoona mitandaoni hasa hapa kwenye hii post daah! yaani vijana tumekuwa wa hovyo kuliko kawaida, uzinzi ndio talk of town tena watu wako very proud nao na comfortable kabisa, ushoga kuporomoka maadili ndio usiseme, ndoa hazina thamani tena na walio ndani yake ndio mawakala wa kutoa siri zao za ndani na kuziponda, unajiuliza hivi watoto wetu tutakaozaa wakifikia umri wetu wa sasa watakuta kuna hali gani?

Nimepata hofu kubwa sana baada ya kupitia comments zote za huu uzi, nimetetemeka mno, najiuliza mengi sana, ni kipi bora kati ya kuolewa au kutoolewa? Yarabi tunusuru kizazi chako, nionavyo hapa Tanzania imeisha tayari kama wanaume tunaowategemea kuwa waume ndio hawa basi yaani basi.

Hawa hawa ndio utawakuta kwenye nyuzi za single mother hivi single mother vile, mademu wa kibongo hivi mademu wa kibongo vile, serikali hivi serikali vile, wakati kikubwa wanachokijua ni kulala na wanawake malaya kama wanavyobadili nguo, wanawatia mimba wanawakataa au kuwatafutia vijisababu baadae wanaanza kuwaponda na kujisifu kwa ushetani wao,

Mungu yupo na atawalipa mnachostahili, nyie endeleeni tu na ufirauni wenu ipo siku Mungu atasikia kelele mnazompigia si mnajaribu kumuamsha ili mthibitishe kama yupo kweli.!
Pole ukute na jamaa yako ameandika yake humu hahahaha! Life is too short to be serious mamaaa we mwenyewe lazima unayo ya kwako unaitamani tofauti ya wewe na sisi ni kwamba wewe huna guts za kuiandika hapa na sisi tumetiririka kile kitu moyo unatamani na tutafanya juu chini tufanikiwe maana hizo nazo ni ndoto kama ndoto zingine zinatakiwa kutimia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom