The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
Nadhan ni kisaikolojia mwanaume akipewa jicho anaona demu kajisubmit sanaDuuuh! Madam sikuwa namfikiria kabisa, kweli usiyemdhani ndiye.
Nimepata kufuhamu leo
Wengine maumbile yao namna ya kukaa ila sidhan kama wanatoa jicho. Kuomba vzr kukoje
Watu wanapesa sana 80M kwa kula jicho?!! Lazima itakuwa mambo ya ushirikina.