Ipi ni zawadi nzuri ya kumpatia mpendwa wako hasa wa kike?

dyudyu
 
Hayo fanyeni huko ulaya hiyo candlelight atapigwa na mshumaa usoni hadi ashangae [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bajeti yako ni kama kiasi gani? Mnunulie perfume,saa na misindikizie na cake flani hivi ya chocolate yenye umbo la love akii hata ukichepuka akakubamba anakusamehe๐Ÿ˜‚
Aiseee hadi hapo ni kama 50k hivi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ