Ipi njia nzuri ya kuweka akiba?

Ipi njia nzuri ya kuweka akiba?

Huwezi kufanikiwa maishani kama huwezi kumuamini mtu.

Kama upo kweli Marekani mchakato wako mpaka kufika hapo uliwaamini kwenye pesa na wao walikuamini, i know ninachokiandika.
Hii sitafanya kamwe watu wamelizwa na ndugu zao na huwezi hta kumfunga, hii ni kama final stage ninakaribia 40 siwez kufanya huo ujinga, pesa ilimsaliti hadi Yesu aaah we big no.
 
Siwezi kukushauri zaidi, nina mwana kila mwaka anakuja kupumzika Bongo na appartment zake alijengewa na mshkaji tu.

Huwezi kukwepa mtu asipate hata vijiela kusimamia miradi yako, wewe ni mchoyo na una roho mbaya, subiri ujichanganye kwa demu wa Kimarekani akupukutishe saving yako yote uwe kichaa tutakuchangia nauli.
 
Umekomalia kishenzi mshikaji atume hela ya kununua viwanja.

Sijui unapigia upatu kikampuni chako.

Masuala ya kununua viwanja online bongo hii ni uxenge.

Nenda site, physically. Uone geological layout, nature of the soil, neighborhood nakadhalika.

Nje na hapo ni kubeti.
 
Fungua account ktk bank hizi kubwa NMB ,CRDB ,NBC then uanze Ku-deposit pesa zako .

Nadhani ungefungua fixed account ingekuwa vizuri zaidi.

Usimwamini MTU kwenye mambo ya hela maana wewe unaoneka haujasettle mil 40 ni hela ndogo ni bora ujitunzie mwenyewe.

Ushauri mwingine sehemu uliyopo jaribu kuwa na MTU mnaye-share the same dreams ili muwe mnaongea na kupeana hamasa na mkawa na "saving challenge'
 
Siwezi kukushauri zaidi, nina mwana kila mwaka anakuja kupumzika Bongo na appartment zake alijengewa na mshkaji tu.

Huwezi kukwepa mtu asipate hata vijiela kusimamia miradi yako, wewe ni mchoyo na una roho mbaya, subiri ujichanganye kwa demu wa Kimarekani akupukutishe saving yako yote uwe kichaa tutakuchangia nauli.
Jamaa mmoja alikuwa anamtumia kakaake hela bro anamtumia mapicha ya mjengo, kaja kukuta ni banda la mbao,, hawajaongea miongo miwili
 
Siwezi kukushauri zaidi, nina mwana kila mwaka anakuja kupumzika Bongo na appartment zake alijengewa na mshkaji tu.

Huwezi kukwepa mtu asipate hata vijiela kusimamia miradi yako, wewe ni mchoyo na una roho mbaya, subiri ujichanganye kwa demu wa Kimarekani akupukutishe saving yako yote uwe kichaa tutakuchangia nauli.
Ushauri na comment ya ovyo niliyoiona katika huu uzi
 
Siwezi kukushauri zaidi, nina mwana kila mwaka anakuja kupumzika Bongo na appartment zake alijengewa na mshkaji tu.

Huwezi kukwepa mtu asipate hata vijiela kusimamia miradi yako, wewe ni mchoyo na una roho mbaya, subiri ujichanganye kwa demu wa Kimarekani akupukutishe saving yako yote uwe kichaa tutakuchangia nauli.
Ushauri na comment ya ovyo niliyoiona katika huu uzi.mleta mada ukifuata huu ushauri inabidi tukupime akili kama ziko sawa au la!!
 
Fungua account ktk bank hizi kubwa NMB ,CRDB ,NBC then uanze Ku-deposit pesa zako .

Nadhani ungefungua fixed account ingekuwa vizuri zaidi.

Usimwamini MTU kwenye mambo ya hela maana wewe unaoneka haujasettle mil 40 ni hela ndogo ni bora ujitunzie mwenyewe.

Ushauri mwingine sehemu uliyopo jaribu kuwa na MTU mnaye-share the same dreams ili muwe mnaongea na kupeana hamasa na mkawa na "saving challenge'
Thanx
 
Achana na ujinga wewe pesa unamsevia nani, kula pesa yako enjoy life hujui lini utakufa.

Mungu akikutaka uwe tajiri utakuwa tu tajiri, na akitaka uwe masikini utakuwa tu masikini, hata uzisave hizo pesa zako 80% kila mwezi.

We kula life, jali wazazi wako, mke wako, watoto zako na afya yako. Utajiri ni baraka kutoka kwa Mungu.

Usisahau kuwasaidia masikini pia inakukinga na mengi.

Kula life kijana utajiri ni kutoka kwa Mungu si kwa jitihada yako au akili zako.

Kuna watu wamesoma na wana akili kuliko wewe hawana pesa, na kuna watu wanabidii na wachapa kazi kuliko wewe na hawana pesa.

Siku njema.
 
Back
Top Bottom