Me too
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 7,388
- 9,333
Wakuu ili wazazi waishi miaka mingi bila presha za makwaruzano wao kwa wao zinazopelekea kufa mapema,
Njia rahisi ni kutengana kila mtu aishi kivyake, lakini utengano, huu unashindikana sababu ya watoto mliozaa kukosa malezi ya wazazi wawili.
Je, tufanyaje Watoto hawa tuwaleeje ikiwa wapo na mzazi mmoja ili kukidhi mahitaji sahihi na bila kumharibu mtoto kuwa?
NB: Hii ni kwa wale wenye pesa na uwezo kimalezi bila kumtegemea mwenza..
Karibuni kwa michango.