Ipi nzuri kati ya Infinix na Oppo ya Mchina?

Sawa kaka shukrani

Nimecheki reviews za Samsung m51

Naona watu wamelalamika zina matatizo mengi

Ikiwemo kuacha kuchajisha simu na network signal reception iko chini sana

Hasa ukiupgrade kwenda android 11

Hii kwako imekaaje??
 
Sawa kaka shukrani

Nimecheki reviews za Samsung m51

Naona watu wamelalamika zina matatizo mengi

Ikiwemo kuacha kuchajisha simu na network signal reception iko chini sana

Hasa ukiupgrade kwenda android 11

Hii kwako imekaaje??
Siwezi kufahamu hayo mkuu, na pia usiangalie matatizo ya simu comments za Gsmarena.

Na m51 pia ni ya soko la India, mfano Hilo suala la poor reception mpaka ujue ni mtandao gani na ni band ipi imesababisha. Kwa Tanzania hata utembee na Antenna Halotel 4g itakuwa na reception mbovu, si Sababu ya simu ama mtandao Bali band husika, ambayo hutoa speed kubwa sana ukiwa covered lakini ukiwa mbali ama umezibwa kidogo hupati signal vizuri.

Pia most of time matatizo yanayokuja na updates baadae hutolewa updates nyengine kuyatatua.
 
Mkwawa hii A12 Sum mbona iko vyemaa
Pia ina kaa na charg sanaa.

Pia sijajua kasoro kuu ni zip kwa Budget yangu ya 350k
 
Okay mkuu

Halafu kuna kitu kma kinanivuruga

Unakuta simu inasupport bands zote za network za Tanzania

Ila unakuta iko network unlocked huko inakouzwa

Na humu jamvin ilishawah jadiliwa kwamba hzi unlocked phones huwaga zina shida zake

Je ni kweli hata kma zina freq bands zote za mitandao husika hapa bongo??
 
Mkwawa hii A12 Sum mbona iko vyemaa
Pia ina kaa na charg sanaa.

Pia sijajua kasoro kuu ni zip kwa Budget yangu ya 350k
Inategemea na matumizi, kama Una matumizi ya kawaida si mbaya, ila matumizi makubwa haitafanya.

Kwa budget ya 350k Xiaomi redmi 9T ni simu nzuri.
 
Unlocked hazina shida, locked ndio zina shida, unless muuzaji kasema ni unlocked hali ya kuwa sio.
 
Inategemea na matumizi, kama Una matumizi ya kawaida si mbaya, ila matumizi makubwa haitafanya.

Kwa budget ya 350k Xiaomi redmi 9T ni simu nzuri.
Nashukuru lakini maduka mengi hizo simu wauzaji hawazijui na hata upatikanaji wake ni wa shida
 
Bongo naweza ipata wapi kwa sh ngaapi
 
Napitia baadhi ya simu kama poco f3 naona haina heaphone jack pia ina infared. Hii infared ya kazi gani kwa wakati huu.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…