Habari za kushinda wakuu? Naomba kufahamishwa/kujulishwa tofauti iliyopo kati ya magari ya kuagiza nje ya nchi kwa mfano Japan, korea nk na yale yanayouzwa hapa nchini, unakuta mtu amefungua yard yake anauza magari ambayo ni used kama yale ambayo unaweza kuagiza kupitia makampuni mbalimbali...