Ipi siri ya Wayahudi kuwa na akili sana?

Ipi siri ya Wayahudi kuwa na akili sana?

Ni ukweli usiobishaniwa kwamba Wayahudi ni watu wenye akili sana katika dunia hii, na hii hapa ni mifano michache tu ila wako maelfu,

Albert Einstein-Relativity(E=mc^2)
Neils Bohr- Nuclear,
Oppenheimer-bomu la atomic,
Edward Teller-bomu la Hydrogen
Karl Marx- Nadharia ya Ujamaa,
Boris Rosing-TV,
Paul Baran-Internet
Simcha Blass-Mfumo wa umwagiliaji shambani
William Fox-Movies,
Sergey Brin-Google,
Singer- Cherehani,
Milton Friedman-Uchumi
Waldemar Haffkine- Chanjo ya ukoma,
Jonas Salk- chanjo ya polio
Baruch Blumberg-Chanjo ya homa ya ini
Hedy Lammar- WiFi,
Mark Zuckerberg- Facebook
Levi Strauss- Jeans
Emile Berliner- microphone na helicopter
Ralph Baer- video game
Karl Landsteiner-makundi ya damu
Rothschild family-benki kimataifa
Sigmund Freud-Saikolojia
Leon Trotsky-Namba 2 mapinduzi ya kijamaa Russia 1917
Noam Chomsky
Selman Abraham Waksman-Antibiotics

Bila kusahau 22% ya washindi wa tuzo ya Nobel ni wa asili ya Wayahudi.

Hizo akili ni kwa sababu ya genes, mazingira au ndio kubarikiwa kama wengi wa Wayahudi wa Buza ambavyo wanaamini na kudai?!
Mbona easy kujua soma Biblia Torati 33:29...wameshabarikiwa hao
 
Ipo wazi sana kwamba kuwa na akili ni baraka toka kwa Mungu (off course inabidi akili zifanyiwe kazi ili kupata matokeo) hivyo basi sababu ya wao kuwa na akili ni kwa kuwa wamebarikiwa na Mungu.
Ndiyo maana mtu tajiri zaidi kuwahi kutokea dunian ni King Solomon ambaye alikuwa myahudi
Ndiyo maana wakati Pharao ameota ndoto ambayo waganga na wachawi wa Misri walishindwa kutafsiri myahudi aitwaye Yusuph mwana wa Yakobo alimwambia Pharaoh maana ya ndoto na akamwambia Pharao nini cha kuifanya na akaisaidia kudeal ma njaa ya miaka 7 ambayo likuwa dunia nzima yes dunia nzima. Yusuph ndo mwanzilishi wa Central banks, Pension Funds ni wazo alipewa na Mungu kuisaidia dunia.

Kwa kifupi Mungu amejifunua kupitia wayahudi ili dunia nzima ipate vitu vizuri vya Mungu.
Wewe unasoma Biblia na unaitambua
 
Back
Top Bottom