Ipi siri ya Wayahudi kuwa na akili sana?

Ipi siri ya Wayahudi kuwa na akili sana?

Hadi leo hujui kwamba jews hawatumii na hawaamini katika biblia wala ukristo ambao hawautaki hata kuusikia?
Tunashida sana watanzania sijui aliyewekeza Mwenye hili eno Alifsnya home yake vizuri Ila walokole ndo wametufikisha hapa kudhani Jew na christin ni vitu Vinavyofanana
 
Najua unaumia sana unaposikia tu Israel lakini acha tu ikuume maana huwezi kubadiri chochote kuhusu Israel na mafanikio yao makubwa waliyoyapata kama watu binafsi na kama nchi hawa watu huwezi linganisha na wewe Mmatumbi mwenzangu au nchi zetu hizi wao wako tofauti sana!! Nchi yao ni ndogo sana lakini wanatetemesha mataifa kwa ujuzi na utaalamu walionao iwe kiuchumi,Kijeshi au kwa teknolojia ni mjinga tu ambaye hatawatambua Israel katika nyanja za kiuchumi,Kijeshi na Tkenolojia. Duniani Kijeshi Iko vizuri sana ki teknolojia wako mawinguni juzi wametuonyesha kuwa Pager,Radio-call zinaweza na ziliweza kuwaangamiza mamia ya magaidi wa Hezboullah walipoanzisha “Operetion Beeper” huko Lebanon hiyo ni teknolojia Kijeshi hakuna Jeshi lolote duniani linaloweza kupigana na pande saba “Seven-Fronts” Israel wanaweza na wemeweza kuwapiga na wanaendelea kuwapiga magaidi wa Hamas,Hezboullah,Houthi,Syria,Iraq na Bwana wao Iran bila wasiwasi wowote na wote wanapigwa na wanakubali kuwa kweli wametandikwa. Kuna maneno na vineno waarabu wanavisema sana eti Israel bila marekani si kitu wanasahau kusema Hezboullah,Hamas,Houthi iraq na syria bila Iran si kitu pia. Hapa duniani hakuna Jeshi linaloweza kushinda bila msaada wa mwingine mfano Russia kwenye vita vyake na Ukraine pamoja na U- SUPAPAWA wake wa michongo anapewa misaada na Iran,China na Korea ya kiduku lakini hata hivyo bado tu anahangaika na Ukraine. Vivyo hivyo na marekani hawezi kupigana vita peke yake na kushinda vita.. kwa hiyo hivyo ni visingizio vya Sungura SIZITAKI MBICHI HIZO. Ukweli unabaki palepale Israel wako tofauti kabisa pamoja na kwamba dunia iko kinyume nao lakini uzuri Mungu yuko pamoja nao kwa hiyo wenye wivu acha tu wajinyonge!!!!!!
Ndo elim yetu imefika hapa ya kuwatukuza wa Israeli wee na eu Nani Mwenye kuwatambua vyema hao watu mpaka ujiitie ienda wazimu hivyo eti taifa la mungu
 
😂😂😂😂😂😂
unakuwa na akili kisha unakuwa shoga vipi wewe unatamani mtoto wako awe kama Waisrael awe na akili kisha anatafunwa hiyo lost uliyokweka ni mashoga watupu.
😂😂😂😂😂😂
 
Waislam wakianza kusoma Quran na hadithi vizuri na wakiacha kukaririshwa tafsiri na "Scholars" wao ndio watajua dini yao, kinyume na hapo wataendelea kukariri vitu vya juu juu tu.
Hivi unajua kwenye uislamu anaheshimiwa sana mtu mwenye elimu kubwa ya dini hata kama hana cheo chochote kwenye dini au hasomeshi elimu ya dini?
 
Akili kwenye uovu TU, kuua, kudhulumu ardhi, kugombanisha watu kuharibu utamaduni na mazingira ya wengine yaani sijawahi ona Hawa jamaa Wana jambo la maana zaidi ya ushoga mpaka jeshini
 
unakuwa na akili kisha unakuwa shoga vipi wewe unatamani mtoto wako awe kama Waisrael awe na akili kisha anatafunwa hiyo lost uliyokweka ni mashoga watupu.
Actualy hakuna relation between ushoga na smartness (genius).
Most of scientist hapo anzia akina einstein na wengine hawakuwa mashoga, na walikuwa na ndoa zao kabisa
 
ngoja na mimi ni add mkuu
  1. Albert Einstein: Renowned physicist known for the theory of relativity.
  2. Richard Feynman: Influential physicist known for his work in quantum mechanics.
  3. Niels Bohr: Physicist who made foundational contributions to understanding atomic structure and quantum theory.
  4. Jon von Neumann: Mathematician and polymath who made major contributions to many fields, including computer science.
  5. Noam Chomsky: Linguist, philosopher, cognitive scientist, and social critic.
  6. Robert Oppenheimer: Theoretical physicist and scientific director of the Manhattan Project.
  7. Daniel Kahneman: Psychologist and Nobel laureate known for his work on the psychology of judgment and decision-making.
Leon Trotsky wa urusi. Huyu muanzilishi wa dawa/sindano ya ganzi. Wako tu million 17 duniani lakini wanawajambisha kobaaz billion 2.
 
Ni ukweli usiobishaniwa kwamba Wayahudi ni watu wenye akili sana katika dunia hii, na hii hapa ni mifano michache tu ila wako maelfu,

Albert Einstein-Relativity(E=mc^2)
Neils Bohr- Nuclear,
Oppenheimer-bomu la atomic,
Edward Teller-bomu la Hydrogen
Karl Marx- Nadharia ya Ujamaa,
Boris Rosing-TV,
Paul Baran-Internet
Simcha Blass-Mfumo wa umwagiliaji shambani
William Fox-Movies,
Sergey Brin-Google,
Singer- Cherehani,
Milton Friedman-Uchumi
Waldemar Haffkine- Chanjo ya ukoma,
Jonas Salk- chanjo ya polio
Baruch Blumberg-Chanjo ya homa ya ini
Hedy Lammar- WiFi,
Mark Zuckerberg- Facebook
Levi Strauss- Jeans
Emile Berliner- microphone na helicopter
Ralph Baer- video game
Karl Landsteiner-makundi ya damu
Rothschild family-benki kimataifa
Sigmund Freud-Saikolojia
Leon Trotsky-Namba 2 mapinduzi ya kijamaa Russia 1917
Noam Chomsky
Selman Abraham Waksman-Antibiotics

Bila kusahau 22% ya washindi wa tuzo ya Nobel ni wa asili ya Wayahudi.

Hizo akili ni kwa sababu ya genes, mazingira au ndio kubarikiwa kama wengi wa Wayahudi wa Buza ambavyo wanaamini na kudai?!
Wanaakili kama Wanyaturu
 
Hivi unajua kwenye uislamu anaheshimiwa sana mtu mwenye elimu kubwa ya dini hata kama hana cheo chochote kwenye dini au hasomeshi elimu ya dini?
Bado wapo zama za mawe hao wakianza kuhoji maandiko yao wao wenyewe bila kusubiri kufafanuliwa ndio wataona hiyo heshima wanayotoa haina maana.
 
Wana akili lakini wanashindwa kuwa konvisi akina takbiiiiri waishi kwa amani
 
Wana akili lakini wanashindwa kuwa konvisi akina takbiiiiri waishi kwa amani
Wanatukia akili hizo kwa ustawi wa taifa lao, mataifa mengine yanaruhusiwa ku iga lakini culture inq nguvu sana. Kuna mataifa wao culture za vurugu , visasi, kuto kuwa na amani ndio maisha yao. Huwezi badilisha jamii za aina hii
 
Back
Top Bottom