Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwigulu yupo mtegoni, akifanya mambo ya ajabu anaweza kupotea kwenye anga za kisiasa mazima.Mama amenikosha tu kwenye usawa.
Hataki dhuluma
Hataki uonevu
Hataki mabavu
Anataka usawa
Anataka uhuru kwa kila mtu
Ameruhusu kukosolewa (anajiamini hapo)
Yan ni rais anaetufaa
Kakosea tu hapa
Kumteua Mwigulu kuwa waziri wa fedha
Na hizi teuzi za maDC
Jifunze kusoma historia za mataifa mbalimbali ya namna wanavyoendesha siasa zao.Ogopa sana kuwa na Rais ambaye hata wapinzani kama CHADEMA na ACT wanamsifia kila kukicha kwenye mitandao.
Rais anayesifiwa na kupongezwa na "wapinzani" ni Rais asiyejua majukumu yake.
Mfano, akitokea Rais Marekani akiwa ni kutoka Republican halafu Democrats wakawa wanamsifia kila siku na kumpongeza basi huo utakuwa ndiyo mwisho au kifo cha siasa Marekani.
Hilo linatokea Tanzania, siasa ndiyo zinakufa sasa. Wapinzani wote wana mahaba na mama.
Katika siku zake 100 amepindua meza kisomi. Ghafla bin vuu kutoka kwenye wa chuma mpaka kwenye uhuru wa kila kitu.Mama katimiza siku 100 madarakani baada ya kifo cha Magufuli
Ukiachana na kicheko kwa wafanyakazi weka tathmini yako ya haki hapa
Weka projection yako na ushauri wako kwake. Anatusoma a ametuasa tusikosoe tu na kujibishana mitandaoni bali tushauri kwa weledi na tutoe ushauri wa kujenga
- Alikopatia
- Alikokosea
- Alikochapia
- Alikozembea
- Alikokurupuka
Lakini si unaambiwa alitaka kujiuzulu akanasihiwa akomae tu. Sasa kama angejiuzulu kama mnavyofikiria je leo angekuwa raisi na kufanya anavyofanya? Pengine hata alilazimishwa kutojiuzulu na boss wake. Hayo yote tuyaache tumpe ushirikiano kwani nyota njema huonekana asubuhi, akiiendesha nje vyema wanufaika ni mimi na wewe na vizazi vyetu kwani sisi sote ni watanzania hata wapinzani ni watanzania pia.Hapa ndipo mnapokera watu, kama kweli Samia alikuwa opposite na mkuu wake, the best decision kwake ingekuwa kujiuzulu na tungeona ukomavu wake kisiasa, angekuwa kinyume na mkuu wake angekataa kuongeza mda katika kipindi cha pili cha utawala wa JPM.
Msitake kumfanya Samia malaika kwamba hakupenda the way JPM anatawala wakati she was part of his "dictatorial regime" kama mnavumyosema.
Kama angekuwa mtu wa haki, angekataa utawala wa JPM na angejuondoa, ref. Lowassa in 2007. Otherwise tuendelee kuimba mapambio ya CCM coz wametukamata masikio bila kujielewa.
Wewe ni shoga?Nafikiri wewe akili yako Kama ya panya! Una imani?????????????????!
Jiwe aliwakamata vizuri sana na kuwapiga vya kutosha kwenye hiyo mnayoiita miradi. Jamaa alikuwa anauma yaani hajui hata kupuliza. Hiyo SGR ikianza kufanya kazi chini ya 2024 nikumbushe nikulipe $100.mpaka Sasa bado hakuna alichokifanya.mradi upi amekamilisha au hata kafika 10% tangu pale alipoanzia Hadi Sasa, almost nothing.labda tumpe muda zaidi tuone.
Utakuwa mbali eh? Utakuwa umefika wapi? Kwa hiyo, Kwa Maoni yako tulichelewa kumpata huyu mama? Na Kwa Maoni yako Ni Mzuri kuliko Mwalimu Nyerere na Kikwete?Mama yuko vizuri. Itoshe tu kusema hivyo.
Kama taifa likienda hivi natumai mpaka miaka 10 tutakuwa mbali sana
Mshana hebu acha masihara kwenye mambo ya msingi. Hivi kweli unaongea kutoka kwenye Utosi wa akili yako kuwa huyu ni Kiongozi wa Nchi au yupo kuziba pengo la kikatiba?Sijui kwanini wanazi na vijana wa chama chake wamemnunia na wanamsimnga kila kona
itafanyaje kazi chini ya 2024yr,wakati aliyeachiwa majukumu,yuko bize kupotosha wananchi na corona.badala ya kusimama na watu,yuko bize na matangazo ya korona,na mbarakoa usoni utadhani ninja.Jiwe aliwakamata vizuri sana na kuwapiga vya kutosha kwenye hiyo mnayoiita miradi. Jamaa alikuwa anauma yaani hajui hata kupuliza. Hiyo SGR ikianza kufanya kazi chini ya 2024 nikumbushe nikulipe $100.