Ipi tathmini yako kuhusu siku 100 za Rais Samia madarakani?

Ipi tathmini yako kuhusu siku 100 za Rais Samia madarakani?

Ogopa sana kuwa na Rais ambaye hata wapinzani kama CHADEMA na ACT wanamsifia kila kukicha kwenye mitandao.

Rais anayesifiwa na kupongezwa na "wapinzani" ni Rais asiyejua majukumu yake.

Mfano, akitokea Rais Marekani akiwa ni kutoka Republican halafu Democrats wakawa wanamsifia kila siku na kumpongeza basi huo utakuwa ndiyo mwisho au kifo cha siasa Marekani.

Hilo linatokea Tanzania, siasa ndiyo zinakufa sasa. Wapinzani wote wana mahaba na mama.
 
Sijui kwanini wanazi na vijana wa chama chake wamemnunia na wanamsimnga kila kona
 
Ndani ya muda mfupi wa utawala wa Mama yetu kipenzi SSH tumeshuhudia yafuatayo;
  1. Ushetani unatoweka
  2. Uonevu, uharamia na ujambazi wa kisiasa unakosa nguvu.
  3. Demokrasia inaanza kutamalaki.
  4. Ukabila na ukanda unakwenda kupungua.
  5. Sifa, majigambo, umimi umetoweka
  6. Ubinafsi nao unakosa nguvu
  7. Kupotea na kuuawa nako kunakuwa historia.
Mama SSH ni chaguo la Mungu, huyu ni 'Easter' ktk Biblia takatifu.
 
All is well.
ila something went wrong kwenye uteuzi wa maDC without vetting.. Kingine she's good in talking but not straight in taking action.. I.e ( hili suala ya kupandisha gharama za vifurushi "mkaliangalie")
 
Mama katimiza siku 100 madarakani baada ya kifo cha Magufuli

Ukiachana na kicheko kwa wafanyakazi weka tathmini yako ya haki hapa
  • Alikopatia
  • Alikokosea
  • Alikochapia
  • Alikozembea
  • Alikokurupuka
Weka projection yako na ushauri wako kwake. Anatusoma a ametuasa tusikosoe tu na kujibishana mitandaoni bali tushauri kwa weledi na tutoe ushauri wa kujenga
Mama Anakin's ndoa za watu. Wanawake siku hizi viburi saana.. kisa wanaongoza nchi
 
Kwangu naweza kusema huyu Mama ndio Mama wa Taifa haswa.

Nchi ipo shwari kabisa kwa sasa!

Hata CCM tunajivunia Kwa kweli.
Nachomshauri awatafutie watu ajira wamechoka sana mtaani. Anaweza kuanzia zile pdf za Bwana yule naona zina logic ukitulia. Atakuwa ameweka historia moja tamu sana.

Mungu na aendelee kumbariki zaidi na zaidi.
 
Ndani ya muda mfupi wa utawala wa Mama yetu kipenzi SSH tumeshuhudia yafuatayo;
  1. Ushetani unatoweka
  2. Uonevu, uharamia na ujambazi wa kisiasa unakosa nguvu.
  3. Demokrasia inaanza kutamalaki.
  4. Ukabila na ukanda unakwenda kupungua.
  5. Sifa, majigambo, umimi umetoweka
  6. Ubinafsi nao unakosa nguvu
  7. Kupotea na kuuawa nako kunakuwa historia.
Mama SSH ni chaguo la Mungu, huyu ni 'Easter' ktk Biblia takatifu.
Waliofungwa kisiasa sasa wanafidiwa fine walizolipishwa
 
Kwangu naweza kusema huyu Mama ndio Mama wa Taifa haswa.

Nchi ipo shwari kabisa kwa sasa!

Hata CCM tunajivunia Kwa kweli.
Nachomshauri awatafutie watu ajira wamechoka sana mtaani. Anaweza kuanzia zile pdf za Bwana yule naona zina logic ukitulia. Atakuwa ameweka historia moja tamu sana.

Mungu na aendelee kumbariki zaidi na zaidi.
Umeongea vizuri sana
 
Tuliwamis sana wapinzani kwenye majukwaa yetu ya kisiasa. Naona anatuletea vizuri sana na hii ndio siasa safi.

Kuna kipindi kweli wapinzani wanatuzidi ujanja lkn mkubwa ni mkubwa tu na sisi ni wakubwa zao, lkn hatukuwahi wengi wetu kutamani wapotee kwenye majukwaa ya kisiasa. Mfano Bungeni tunawamis mno, ni vile tu hatuna la kufanya.

Lakini muelekeo wa siasa za Mama ni mzuri sana ki ukweli. Mungu na aendelee kumsimamia.
 
Back
Top Bottom