Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Msimamizi wa Katiba na Sheria wa nchi na raia ni watu wawili tofauti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali imebariki hukumu za kimtaa mtaa? Extra judicial punishment? If so, kwanini Gekul amekamatwa?Kila kitu sio lazima kiandikwe bruh
Mtu mmepeana mizigo mafichoni huko bila ya kufuata taratibu rasmi ikitokea dhuluma mdai aende mahakamani kufanya nini sasa ni kumalizana kimtaa mtaa
Huyo gekul kwa nafasi aliyokuwa nayo na tukio alilofanya kajichanganya mwenyewe
Sheria inasemaje juu yabuvunjaki wa haki za binadamu, kuna sheria mbili tofauti juu ya makundi hayo mawili?Msimamizi wa Katiba na Sheria wa nchi na raia ni watu wawili tofauti
Kenya alikua anakimbilia nini kama anaamini hakufanya huo u mafiaWanamwonea tu
😆😆😆😆😆- Paulina Gekul na Salaah wa Silent ocean wote ni watu wenye nguvu na ushawishi katika jamii kwa kadiri ya kada zao za kimajukumu.
- Wote ni wana CCM kindaki ndaki
- Wote walijichukulia sheria mkononi kwa wale waliowatuhumu kuwafanyia makosa katika biashara zao. Salaah aliteka vijana wawili, Eliud na mwenzake, na kuwapa mateso makali sana hadi wataje walipopeleka pesa zake. Hakuna hatua aliyochukuliwa, hata tamko tu la polisi, hakuna.
Paulina Gekul, alifanya ukatili wa kumuingizia Chupa kijana Ally Hashim kwa tuhuma za kutaka kumuwekea sumu. Amekamatwa tayari.
Nini tofauti kuu ya hawa wawili, kiasi mmoja anashughulikiwa na mwingine hata kutajwa tu na vyombo vya dola hakutajwa?
Sasa kama mjuavyo, jinai haina expiry date. Sitaki kuingiza udini, na sina nia hiyo. Serikali haipaswi kuwa na double standards, wahalifu wote dhidi ya ubinadamu washughulikiwe. Jinai haina expiry date, nimerudia.
1.) Salaah: Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake, nakupa saa 72
Kukimbilia kivipi? Hii Nchi huru kusafiri ni haki yake ya kikatiba, acheni ujingaKenya alikua anakimbilia nini kama anaamini hakufanya huo u mafia
Gekul anakutafuta akuwekee chupa!😆😆😆😆😆
Gekul anakutafuta akuwekee chupa!😆😆😆😆😆
Acha kujizima dataKukimbilia kivipi? Hii Nchi huru kusafiri ni haki yake ya kikatiba, acheni ujinga
Hii nchi wajinga ni wengi.Ya saalah unakuta ni dili zao wanacheza kimafia wanazungukana wanaamua kumalizana hivyo hivyo kimafia maana unakuta mtu kweli mzigo kachukua alafu analeta za kuleta
Hata mimi ndio nimeshangaa, katiba ni moja, ila kwenye kushughulikia wahalifu tunabaguana wenyewe kwa wenyewe, tatizo ni nini?Hii nchi wajinga ni wengi.
Nani yupo juu ya sheria?
Kulingana na katiba ya JMT?.
Vipi kuhusu ‘Innocent until proben guilty in a court of law’? , Serikali imeruhusu na kubariki ‘extra Judicial’ torture?
If so then, Why ‘Gekul’ akamatwe kwa kumuingiza chupa makalioni mtu ambaye yeye anaamini alitaka kumuua kwa sumu?
Kwahiyo Serikali imebariki extra judicial torture pale ambapo mtu unakuwa na uhakika juu ya tuhuma alizopewa mtu bila kumfikisha mahakamani? Gekul nae akisema alikuwa na uhakika wa hizo tuhuma, ataachiwa?
Wanamwonea tu
Serikali imebariki hukumu za kimtaa mtaa? Extra judicial punishment? If so, kwanini Gekul amekamatwa?
Sheria inasemaje juu yabuvunjaki wa haki za binadamu, kuna sheria mbili tofauti juu ya makundi hayo mawili?
Kwahiyo mmoja watetezi wake wapo hai na mwingine mtetezi wake ni mwendazakeSilent O ukimgusa huyo umemgusa Rizimoko ukimgusa Rizimoko umemgusa JK
Na logout