Ipi tofauti kati ya Paulina Gekul na Salaah wa Silent Ocean?

Serikali imebariki hukumu za kimtaa mtaa? Extra judicial punishment? If so, kwanini Gekul amekamatwa?
 
😆😆😆😆😆
 

Sumu ni hearsay.
 
Kwahiyo Serikali imebariki extra judicial torture pale ambapo mtu unakuwa na uhakika juu ya tuhuma alizopewa mtu bila kumfikisha mahakamani? Gekul nae akisema alikuwa na uhakika wa hizo tuhuma, ataachiwa?

Gekul alitakiwa kuwapeleka Polisi basi. Sio kuwakamata na kuwafungia huku akiwatesa.
 
Serikali imebariki hukumu za kimtaa mtaa? Extra judicial punishment? If so, kwanini Gekul amekamatwa?

Amekamatwa maana yeye ni Naibu Waziri wa Katiba na Sheria alitakiwa kuwa mfano. Alitakiwa kufuata Sheria maana yeye ndiye Naibu Waziri wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…