Ipi tofauti kati ya Paulina Gekul na Salaah wa Silent Ocean?

Acha kujitoa fahamu ww! Kwa Salah wale madogo wenyewe walikiri na walisema kbs hela wamepeleka wapi lakn la gekul unafanya ukatili kisa unahis kijana anachota mchanga ili upelekwe kwa mganga? Unahisi anaweka sumu? Pro mwendakuzimu fanyeni kuupdate hzo software zenu kichwani
 
Salah analinda maslahi ya wenye madaraka, ikimaanisha kwenye makampuni yake kuna shares za kutosha za wenye mamlaka. Kumuadhibisha Salah ni kutia dosari maslahi yao.

Paulina ni mganga njaa alieweza kupata vijipesa kupitia siasa na akahisi na yeye ni mmoja ya wanakikundi cha CCM hivyo kuhisi serikali ipo mikononi mwake.

Ila kifupi Salaah na Paulina wote majangili tu.
 
Salaah aliapishwa lini kuwa hakimu wa mahakama?
 
Wacha tushike hapa, maana siku 2 hizi sina kazi ya kufanya, wacha tunyimane usingizi tu, hakuna namna
 
Saalah anamiliki hela, na kodi inawezekana analipa nyingi sana, ametoa ajira kwa wabongo wengi sana, anatulete mizigo yetu kutoka china sisi wazee wa kariakoo na kodi tunalipa kiduchu sana, amesababisha maisha yetu yamekuwa rahisi hatuendi china tena..

Huyu Gekul, ni kada tu wa CCM ambaye hana msaada wowote ule na inawezekana anatia hasara tu watanzania na kuwepo kwake hapo inawezekana pia kukawa na mushkeli..

Salaah ni mafia wa kimataifa.

Lamsingi ni NCHI INAPASWA KUENDESHWA KWA MISINGI NA SHERIA HUKU WATU WAKIHESHIMIANA.
 
Katiba ndio inasema anaeingizia watu mizigo abinye watu makende kwa pliers? Katiba ya lini hiyo?
 
Yaan nimkute mtu anataka kuniwekea sumu Ili nife halafu nimuache bila kumvuruga kisaikolojia....hayo mambo ya police mnayaweza nyinyi walokole kapernaumu
 
Kukamtwa Sio ishu mbona sabaya ,kigwangala,walikamatwa
 
Tamko la polisi lipo humu ngoja nitafute link ila wanasema hawakamati mtu maarufu wala tajiri
 
Paulina Gekul, alifanya ukatili wa kumuingizia Chupa kijana Ally Hashim kwa tuhuma za kutaka kumuwekea sumu. Amekamatwa tayari.

Nini tofauti kuu ya hawa wawili, kiasi mmoja anashughulikiwa na mwingine hata kutajwa tu na vyombo vya dola hakutajwa?
Tofauti ni kwamba mmoja ni Gabachori na mwingine ni Mzawa
 
Labda mmoja ni kafiri mwingine ni muisiharamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…