Hellen Jr
JF-Expert Member
- May 10, 2018
- 302
- 639
1.Nyama ya Katikati ya mapaja
[emoji23][emoji23][emoji23] ndo ipi hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1.Nyama ya Katikati ya mapaja
[emoji23][emoji23][emoji23] ndo ipi hiyo
Labda kuku wa kienyeji..lakini wale wa kizungu hawafai kwa mchemsho au hata rostiSalam!
Wale wazee wa misosi ipi top 3 yako ya nyama tamu. Ya kwangu hii hapa:
1. Kuku
Asee huyu ndege hadi leo binafsi naona nyama yake haina mpinzani yani hana mbadala yani nyama iwe mchemsho rosti choma au ya kukaanga nitamu zote nadhani sote tunafahamu jinsi supu ya kuku ilivyo tamu
2. Ng'ombe
Akitoka kuku anafata ng'ombe huyu myama nae yupo vizuri lakini huyu utamu wa nyama yake una depend na maufundi ya mpishi. laini na yeye nyama yake iwe mchemsho rosti choma au ya kukaanga nitamu zote
3 Kitimoto
kwangu huyu namba yake inashika namba 3 kwasababu tu nyama yake inanoga tu kwa rosti na kukaanga lakini mchemsho wake hahaha hapana asee
hiyo ndo top 3 yangu ya nyama tamu Je, ya kwako ni ipi?
NB: Kuku anautamu wa asili tu yeye haitaji ata ufundi wa mpishi.
Ukitaka kujua kama nyama ya Mbuzi,Sungura ,Bata na Kondoo ni balaa..nenda pale darajani kigamboni siku za Jumamosi vuka daraja kidogo tu kushoto.Salam!
Wale wazee wa misosi ipi top 3 yako ya nyama tamu. Ya kwangu hii hapa:
1. Kuku
Asee huyu ndege hadi leo binafsi naona nyama yake haina mpinzani yani hana mbadala yani nyama iwe mchemsho rosti choma au ya kukaanga nitamu zote nadhani sote tunafahamu jinsi supu ya kuku ilivyo tamu
2. Ng'ombe
Akitoka kuku anafata ng'ombe huyu myama nae yupo vizuri lakini huyu utamu wa nyama yake una depend na maufundi ya mpishi. laini na yeye nyama yake iwe mchemsho rosti choma au ya kukaanga nitamu zote
3 Kitimoto
kwangu huyu namba yake inashika namba 3 kwasababu tu nyama yake inanoga tu kwa rosti na kukaanga lakini mchemsho wake hahaha hapana asee
hiyo ndo top 3 yangu ya nyama tamu Je, ya kwako ni ipi?
NB: Kuku anautamu wa asili tu yeye haitaji ata ufundi wa mpishi.
Mamba mwambao wa ziwa Nyasa analiwa...ni jamii ya samaki...ni mtamu tuswala
mamba
nyati