Zanzibar wana supu ya broiler na iko njema tu unapata supu na boflo lako moja jioni inaenda vyema usiku unagusa tu vitu laini laini mambo yamekwishaLabda kuku wa kienyeji..lakini wale wa kizungu hawafai kwa mchemsho au hata rosti
MduduSalam!
Wale wazee wa misosi ipi top 3 yako ya nyama tamu. Ya kwangu hii hapa:
1. Kuku
Asee huyu ndege hadi leo binafsi naona nyama yake haina mpinzani yani hana mbadala yani nyama iwe mchemsho rosti choma au ya kukaanga nitamu zote nadhani sote tunafahamu jinsi supu ya kuku ilivyo tamu
2. Ng'ombe
Akitoka kuku anafata ng'ombe huyu myama nae yupo vizuri lakini huyu utamu wa nyama yake una depend na maufundi ya mpishi. laini na yeye nyama yake iwe mchemsho rosti choma au ya kukaanga nitamu zote
3 Kitimoto
Kwangu huyu namba yake inashika namba 3 kwasababu tu nyama yake inanoga tu kwa rosti na kukaanga lakini mchemsho wake hahaha hapana asee
Hiyo ndo top 3 yangu ya nyama tamu Je, ya kwako ni ipi?
NB: Kuku anautamu wa asili tu yeye haitaji ata ufundi wa mpishi.
1: kitimoto 2: mdudu :3 pork ..............namazote ni huyo mnyama tuu hata umgeuze jina.
Bila picha huu Uzi ni batili 😊🤓🤓Salam!
Wale wazee wa misosi ipi top 3 yako ya nyama tamu. Ya kwangu hii hapa:
1. Kuku
Asee huyu ndege hadi leo binafsi naona nyama yake haina mpinzani yani hana mbadala yani nyama iwe mchemsho rosti choma au ya kukaanga nitamu zote nadhani sote tunafahamu jinsi supu ya kuku ilivyo tamu
2. Ng'ombe
Akitoka kuku anafata ng'ombe huyu myama nae yupo vizuri lakini huyu utamu wa nyama yake una depend na maufundi ya mpishi. laini na yeye nyama yake iwe mchemsho rosti choma au ya kukaanga nitamu zote
3 Kitimoto
Kwangu huyu namba yake inashika namba 3 kwasababu tu nyama yake inanoga tu kwa rosti na kukaanga lakini mchemsho wake hahaha hapana asee
Hiyo ndo top 3 yangu ya nyama tamu Je, ya kwako ni ipi?
NB: Kuku anautamu wa asili tu yeye haitaji ata ufundi wa mpishi.
kabisa mdauHiyo nyama haina levels, ni premium package kama ilivyo
ile vaseline ni kujipaka mkuu naomba Mungu isiwe na kazi nyingine
ewaaaaa🤝Mbuzi choma
Kuku choma
Samaki rost.
#MaendeleoHayanaChama
Ukitaka kujua huyu ndege kashindikanaHapo kwenye kuku tupo pamoja
Namba 2 ni kitimoto then cow
Ila nyie kuku ni mtamu asee
Eti anakula simbilisi😂😂😂Wahehe bwana. Mnakula vitu vya ajabu sana.
Sasa wale ni kuku takatakaLabda kuku wa kienyeji..lakini wale wa kizungu hawafai kwa mchemsho au hata rosti