Ipi top 3 yako ya nyama tamu?

Ipi top 3 yako ya nyama tamu?

Salam!

Wale wazee wa misosi ipi top 3 yako ya nyama tamu. Ya kwangu hii hapa:

1. Kuku
Asee huyu ndege hadi leo binafsi naona nyama yake haina mpinzani yani hana mbadala yani nyama iwe mchemsho rosti choma au ya kukaanga nitamu zote nadhani sote tunafahamu jinsi supu ya kuku ilivyo tamu

2. Ng'ombe
Akitoka kuku anafata ng'ombe huyu myama nae yupo vizuri lakini huyu utamu wa nyama yake una depend na maufundi ya mpishi. laini na yeye nyama yake iwe mchemsho rosti choma au ya kukaanga nitamu zote

3 Kitimoto
Kwangu huyu namba yake inashika namba 3 kwasababu tu nyama yake inanoga tu kwa rosti na kukaanga lakini mchemsho wake hahaha hapana asee

Hiyo ndo top 3 yangu ya nyama tamu Je, ya kwako ni ipi?

NB: Kuku anautamu wa asili tu yeye haitaji ata ufundi wa mpishi.
Mdudu
 
Bila picha huu Uzi ni batili 😊🤓🤓
 
Hapo kwenye kuku tupo pamoja
Namba 2 ni kitimoto then cow

Ila nyie kuku ni mtamu asee
Ukitaka kujua huyu ndege kashindikana
Nimeshasikia nyama zote zinaunguzwa

Ila ulishawahi sikia mtu anaunguza kuku?
Hata kumpika watu huwa wapo makini😂😂😂
 
Back
Top Bottom