Ipi top 3 yako ya nyama tamu?

Wengi hapa naona hawajawah kula sungura na swala ndo maana wanasema kuku,

Mimi ni hivi
1)Sungura
2)Swala
3)Kuku
 
Kuku namba Moja nyama ya kondoo ya foil kizazi sana kwenye ng'ombe ni Nundu tu.
 
Kwakuwa umesema "YAKO", the everybody is entitled to his or her opinion, lakini as the world is concerned Pork holds #1 as the most consumed meat, that being so, then its obvious the sweetest meat is PORK...
 
Attachments

  • IMG_20230618_154956.jpg
    302.9 KB · Views: 18
Kwakuwa umesema "YAKO", the everybody is entitled to his or her opinion, lakini as the world is concerned Pork holds #1 as the most consumed meat, that being so, then its obvious the sweetest meat is PORK...
Lamb over goat???? Mmh uongoo
 
Porcupine (Nungunungu)

Turkey (Bata Mzinga)

Aadvark (Muhanga)

Tafuta hizo nyama utakuja kunishukuru.
 
Sijui kama kuna nyama tamu kama ya muhanga na fungo
 
1: Njiwa choma
2: digidigi
3: mbuzi choma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…