Mussa werema
Senior Member
- Apr 5, 2023
- 177
- 195
Kienyeji ndo kuku hao wengne mfano WA kuku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simbilisi mtamu sana jaribu siku moja.Eti anakula simbilisi[emoji23][emoji23][emoji23]
Wengi hapa naona hawajawah kula sungura na swala ndo maana wanasema kuku,Salam!
Wale wazee wa misosi ipi top 3 yako ya nyama tamu. Ya kwangu hii hapa:
1. Kuku
Asee huyu ndege hadi leo binafsi naona nyama yake haina mpinzani yani hana mbadala yani nyama iwe mchemsho rosti choma au ya kukaanga nitamu zote nadhani sote tunafahamu jinsi supu ya kuku ilivyo tamu
2. Ng'ombe
Akitoka kuku anafata ng'ombe huyu myama nae yupo vizuri lakini huyu utamu wa nyama yake una depend na maufundi ya mpishi. laini na yeye nyama yake iwe mchemsho rosti choma au ya kukaanga nitamu zote
3 Kitimoto
Kwangu huyu namba yake inashika namba 3 kwasababu tu nyama yake inanoga tu kwa rosti na kukaanga lakini mchemsho wake hahaha hapana asee
Hiyo ndo top 3 yangu ya nyama tamu Je, ya kwako ni ipi?
NB: Kuku anautamu wa asili tu yeye haitaji ata ufundi wa mpishi.
Dushe au siyo[emoji533][emoji533][emoji533]
[emoji28][emoji28][emoji28]
Lamb over goat???? Mmh uongooKwakuwa umesema "YAKO", the everybody is entitled to his or her opinion, lakini as the world is concerned Pork holds #1 as the most consumed meat, that being so, then its obvious the sweetest meat is PORK...
Iko kama ya kukuasee sijawah kula nyama ya sungura vipi nitamu
Salam!
Wale wazee wa misosi ipi top 3 yako ya nyama tamu. Ya kwangu hii hapa:
1. Kuku
Asee huyu ndege hadi leo binafsi naona nyama yake haina mpinzani yani hana mbadala yani nyama iwe mchemsho rosti choma au ya kukaanga nitamu zote nadhani sote tunafahamu jinsi supu ya kuku ilivyo tamu
2. Ng'ombe
Akitoka kuku anafata ng'ombe huyu myama nae yupo vizuri lakini huyu utamu wa nyama yake una depend na maufundi ya mpishi. laini na yeye nyama yake iwe mchemsho rosti choma au ya kukaanga nitamu zote
3 Kitimoto
Kwangu huyu namba yake inashika namba 3 kwasababu tu nyama yake inanoga tu kwa rosti na kukaanga lakini mchemsho wake hahaha hapana asee
Hiyo ndo top 3 yangu ya nyama tamu Je, ya kwako ni ipi?
NB: Kuku anautamu wa asili tu yeye haitaji ata ufundi wa mpishi.
View attachment 2382637Kwenu studio
Mimi ni abdalla lakini
1.Kitimoto
2.Nyama ya Nguruwe
3.Mkuu wa meza a.k.a mbuzi katoliki
Mmh anapatikana wap?Simbilisi mtamu sana jaribu siku moja.
1: Njiwa chomaSalam!
Wale wazee wa misosi ipi top 3 yako ya nyama tamu. Ya kwangu hii hapa:
1. Kuku
Asee huyu ndege hadi leo binafsi naona nyama yake haina mpinzani yani hana mbadala yani nyama iwe mchemsho rosti choma au ya kukaanga nitamu zote nadhani sote tunafahamu jinsi supu ya kuku ilivyo tamu
2. Ng'ombe
Akitoka kuku anafata ng'ombe huyu myama nae yupo vizuri lakini huyu utamu wa nyama yake una depend na maufundi ya mpishi. laini na yeye nyama yake iwe mchemsho rosti choma au ya kukaanga nitamu zote
3 Kitimoto
Kwangu huyu namba yake inashika namba 3 kwasababu tu nyama yake inanoga tu kwa rosti na kukaanga lakini mchemsho wake hahaha hapana asee
Hiyo ndo top 3 yangu ya nyama tamu Je, ya kwako ni ipi?
NB: Kuku anautamu wa asili tu yeye haitaji ata ufundi wa mpishi.
Kwanini uongoo mzeee lamb stew ni nomaaaaLamb over goat???? Mmh uongoo