Hiyo itakua ni muelekeo wa mhula wake wote (5 years).Namba 2. Alisha toa muelekeo alipokuwa bungeni. Na hasa hasa alipokuwa akipita huko kkwenye kampeni nileteeni naniliiiiiii nireteeeeni naniliiiiiiii
Hana Jipya.Heri ya Sikukuu ya Krismasi ndugu zangu??
Naona ipo haja ya kuwa na hotuba ya Rais kwa Taifa kabla ya kufunga mwaka 2020....
Wezi wako wengi lakini hukumu za wezi wengine hutolewa na Mungu.Subiri tu mkuu unayo haki;
Ila Mimi nazungumzia ya Mwenye mamlaka ya kuongoza nchi.
Kwa Sasa huyo ndio tunapaswa kumsikiliza zaidi.
Pole Sana kwa kuibiwa mkuu ila hujasema umeibiwa nini.Wezi wako wengi lakini hukumu za wezi wengine hutolewa na Mungu.
Binafsi suala la CHADEMA na wabunge 19 naona ni issue ndogo sana, SUALA KUBWA na lisilopewa kipaumbele ni KWANINI NEC walifoji Majina na kupeleka bungeni kinyume na sheria na taratibu zilizopo kama taifa ???Pole Sana kwa kuibiwa mkuu ila hujasema umeibiwa nini.
Hivi muda wa kukata rufaa kwa wale wabunge 19 si umeshapita??
Ngoja tusubiri sarakasi zenu maana sioni namna hao 19 wataondoka Bungeni, Chama kitawasamehe tu na maisha yataendelea, sema kinachotafutwa hapa ni timing tu ya kufanyika hilo.
Mkuu inaelekea una ushahidi kuwa NEC imefoji majina maana sioni uhalisia wa hili wakati wahusika wamekwenda wenyewe bungeni na kuapa??Binafsi suala la CHADEMA na wabunge 19 naona ni issue ndogo sana, SUALA KUBWA na lisilopewa kipaumbele ni KWANINI NEC walifoji Majina na kupeleka bungeni kinyume na sheria na taratibu zilizopo kama taifa ???
Naunga mkono hoja, this is obvious, kila tarehe 30/31 rais huwa analihutubia taifa na hotuba hiyo hutangazwa live.Heri ya Sikukuu ya Krismasi ndugu zangu??
Naona ipo haja ya kuwa na hotuba ya Rais kwa Taifa kabla ya kufunga mwaka 2020...
CHADEMA kupitia katibu mkuu wao wamekiri hawajapeleka majina na form za NEC Mnyika anazo mpaka leo, sasa hayo majina ya wabunge 19 yalipatikana vipi na kwa taratibu zipi?Mkuu inaelekea una ushahidi kuwa NEC imefoji majina maana sioni uhalisia wa hili wakati wahusika wamekwenda wenyewe bungeni na kuapa??
Wahusika watueleze wenyewe walifikaje bungeni na kiongozi wao anadai walikua na baraka za chama.CHADEMA kupitia katibu mkuu wao wamekiri hawajapeleka majina na form za NEC Mnyika anazo mpaka leo, sasa hayo majina ya wabunge 19 yalipatikana vipi na kwa taratibu zipi ??
Unaposema walinipeleka wenyewe kuapa, probably YES lakini Je, huo ndio utaratibu wa upatikanaji wa wabunge wa viti maalumu tulioniwekea kama taifa ?
Wewe unataka aongee nini zaidi ya habari ya manunuzi ya ndege, SGR, Bwawa la Stiegliers, kununua Meli, Mikopo ya Wanafunzi, Elimu bure, ujenzi wa vituo vipya vya Afya, makusanyo ya TRA nk, such things like that etc, ambavyo tumezoea kusikia, hakuna jipya. lakini uchumi wa mtu "the public economy" is dead na hili hatoweza kulisema.Heri ya Sikukuu ya Krismasi ndugu zangu??
Naona ipo haja ya kuwa na hotuba ya Rais kwa Taifa kabla ya kufunga mwaka 2020..
Heri ya Sikukuu ya Krismasi ndugu zangu??
Naona ipo haja ya kuwa na hotuba ya Rais kwa Taifa kabla ya kufunga mwaka 2020....
Pole Sana kwa kuibiwa mkuu ila hujasema umeibiwa nini....
Raisi hapangiwi!Heri ya Sikukuu ya Krismasi ndugu zangu??
Naona ipo haja ya kuwa na hotuba ya Rais kwa Taifa kabla ya kufunga mwaka 2020..
Naunga mkono hoja, this is obvious, kila tarehe 30/31 rais huwa analihutubia taifa na hotuba hiyo hutangazwa live.
P