Bhikalamba
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 1,916
- 2,756
Sky I LvUTunaisubiri hotuba ya Tundu Lissu ya kufungia mwaka. Itakua wiki ijayo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sky I LvUTunaisubiri hotuba ya Tundu Lissu ya kufungia mwaka. Itakua wiki ijayo.
Hiyo itakua ni muelekeo wa mhula wake wote (5 years).
Sasa tunasubiri kusikia kwa mwakani serikali imepanga kutufanyia nini sisi wananchi.
Sio vibaya tukafahamu na tukaulizana maendeleo yake.
Issues za kuwa addressed zipo nyingi haziwezi kwisha.
Hivi salam za Christmas amezitoa kwetu watanzania? Mana tumezoeaHana Jipya.
Yeye asubirie tu muda wake uishe asepe.
Kama atakatalia madarakani tujue la kufanya.
Hakuna Mtanzania mwenye matumaini naye tena, wengi wameamua kusubiria amalize asepe. Na siku hazigandi
Dah mzee wa Longido. Utasubiri sana kama unavyosubiri kwa hamu barabara ya lami kutoka Sanya juu had Longido.Well ingawa hili halikufanyika,
Bado mwaka ni mbichi
Kuna nafasi ya kuzungumza na wananchi.
Kimya kingi kina mshindo mkuu.