Ipo haja ya Hotuba ya Rais kabla ya kufunga mwaka 2020

Asijisumbue kuhutubia ndio ataharibu kabisaaaa....akomae shingo amalize asepe...hana mvuto labda kwa wateule wake
 
Naunga mkono hoja, this is obvious, kila tarehe 30/31 rais huwa analihutubia taifa na hotuba hiyo hutangazwa live.
P
Umetafuta uteuzi muda mrefu kwa kuunga mkono juhudi lakini bado hujapata, je uko tayari kumwandikia hiyo hotuba ili iwe na mvuto? Mara nyingi hotuba zake zinatia kichefuchefu hadi kutufanya tubadili Channel kwenye TV au Stesheni za Radio lakini ikiandikwa na wewe Mwanahabari nguli wengi watapenda kusikiliza maana toka ustaafu tunakosa andiko nzuri ingawa tutakosa usomaji mzuri akisoma. Unaweza fikiriwa kuwa Speech Writer wake!
 
Heri ya Sikukuu ya Krismasi ndugu zangu?

Naona ipo haja ya kuwa na hotuba ya Rais kwa Taifa kabla ya kufunga mwaka 2020.

Hata akitoa Salamu za Mwaka Mpya nayo sio mbaya.

Hii itamuwezesha kufanya mambo makubwa mawili;

1. Kuwashukuru wananchi kwa kumchagua kwa awamu ya pili ( najua ameshafanya hili wakati wa ufunguzi wa Bunge lakini sio mbaya akifanya tena).

2. Kutoa muelekeo wa Serikali yake kwa mwaka 2021 katika mambo mbali mbali ikiwemo Uchumi, elimu, afya , ajira kwa vijana na mambo mengineyo.

Naamini wasaidizi wake watamkumbusha hili.

Baada ya kusema hayo machache.

Niwatakieni tena Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya.
eee
 
Namba 2. Alisha toa muelekeo alipokuwa bungeni. Na hasa hasa alipokuwa akipita huko kkwenye kampeni nileteeni naniliiiiiii nireteeeeni naniliiiiiiii
waliofuatilia bungeni hawafiki 20% lkn kwa mwaka mpya watafika 90%
 
Hivi kama mnaona kuna uvunjifu wa katiba mnasubiri nini kwenda mahakamani?

Spika anajitetea anasema alipewa majina na Nec na yeye kazi yake ni kuapisha tu. Mbona hamtaki ukweli ujulikane nani alipeleka majina Nec?
Mahakama zipi, hayo majengo ya mahakama yanayosimamiwa na Makada wa ccm?
 
Umetafuta uteuzi muda mrefu kwa kuunga mkono juhudi lakini bado hujapata, je uko tayari kumwandikia hiyo hotuba
ili iwe na mvuto? Mara nyingi hotuba zake hutufanya tubadili Channel kwenye TV au Stesheni za Radio lakini ikiandikwa na wewe Mwanahabari nguli wengi watapenda kusikiliza maana toka ustaafu tunakosa andiko nzuri ingawa tutakosa usomaji mzuri na haiba. Unaweza fikiriwa kuwa Speech Writer wake!
Anao waandishi wazuri lkn toka mwanzo alishasema hapendi hotuba za kuandikiwa ,siku hiyo ilikuwa ni siku ya sheria
 
Heri ya Sikukuu ya Krismasi ndugu zangu?

Naona ipo haja ya kuwa na hotuba ya Rais kwa Taifa kabla ya kufunga mwaka 2020.

Hata akitoa Salamu za Mwaka Mpya nayo sio mbaya.

Hii itamuwezesha kufanya mambo makubwa mawili;

1. Kuwashukuru wananchi kwa kumchagua kwa awamu ya pili ( najua ameshafanya hili wakati wa ufunguzi wa Bunge lakini sio mbaya akifanya tena).

2. Kutoa muelekeo wa Serikali yake kwa mwaka 2021 katika mambo mbali mbali ikiwemo Uchumi, elimu, afya , ajira kwa vijana na mambo mengineyo.

Naamini wasaidizi wake watamkumbusha hili.

Baada ya kusema hayo machache.

Niwatakieni tena Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya.
1. Toa heshima panapostahili. Wakurugenzi katika halmashauri ndo waliomchagua na kuhakikisha Mhe. Magufuli anakuwa Rais. Kama ni shukran zinapaswa ziende huko na alishawashukuru (wao pamoja na polisi,wakuu wa wilaya, mikoa n.k) kwa kusema hatachagua wapya.
2. Kuhusu nini anapanga kufanya mbeleni, itategemea ameamkaje siku husika.
 
Heri ya Sikukuu ya Krismasi ndugu zangu?

Naona ipo haja ya kuwa na hotuba ya Rais kwa Taifa kabla ya kufunga mwaka 2020.

Hata akitoa Salamu za Mwaka Mpya nayo sio mbaya.

Hii itamuwezesha kufanya mambo makubwa mawili;

1. Kuwashukuru wananchi kwa kumchagua kwa awamu ya pili ( najua ameshafanya hili wakati wa ufunguzi wa Bunge lakini sio mbaya akifanya tena).

2. Kutoa muelekeo wa Serikali yake kwa mwaka 2021 katika mambo mbali mbali ikiwemo Uchumi, elimu, afya , ajira kwa vijana na mambo mengineyo.

Naamini wasaidizi wake watamkumbusha hili.

Baada ya kusema hayo machache.

Niwatakieni tena Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya.

Ni jambo jema kwa kila kiongozi kutoa salaam za sikukuu za kitaifa na mwaka mpya. Sema kiongozi wetu hayo mambo huwa anaona kama hayana umuhimu. Ni kazi kwa kweli kua na kiongozi wa aina ya JPM5tena. Sasa sijui tatizo ni dharahu au hana muda? Yote kwa yote sisi tumtakie Merry Christmas na Heri ya mwaka mpya mpambanaji tuendelee kumuomba Mungu ampe maono ya kiuongozi wa binadamu. UPENDO AMAN NA HAKI
 
Heri ya Sikukuu ya Krismasi ndugu zangu?

Naona ipo haja ya kuwa na hotuba ya Rais kwa Taifa kabla ya kufunga mwaka 2020.

Hata akitoa Salamu za Mwaka Mpya nayo sio mbaya.

Hii itamuwezesha kufanya mambo makubwa mawili;

1. Kuwashukuru wananchi kwa kumchagua kwa awamu ya pili ( najua ameshafanya hili wakati wa ufunguzi wa Bunge lakini sio mbaya akifanya tena).

2. Kutoa muelekeo wa Serikali yake kwa mwaka 2021 katika mambo mbali mbali ikiwemo Uchumi, elimu, afya , ajira kwa vijana na mambo mengineyo.

Naamini wasaidizi wake watamkumbusha hili.

Baada ya kusema hayo machache.

Niwatakieni tena Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya.
Hana hiyo akili huyo kichaa.
 
Atueleze kwanini nchi haina university hospital hadi karne hii ya science
 
Heri ya Sikukuu ya Krismasi ndugu zangu?

Naona ipo haja ya kuwa na hotuba ya Rais kwa Taifa kabla ya kufunga mwaka 2020.

Hata akitoa Salamu za Mwaka Mpya nayo sio mbaya.

Hii itamuwezesha kufanya mambo makubwa mawili;

1. Kuwashukuru wananchi kwa kumchagua kwa awamu ya pili ( najua ameshafanya hili wakati wa ufunguzi wa Bunge lakini sio mbaya akifanya tena).

2. Kutoa muelekeo wa Serikali yake kwa mwaka 2021 katika mambo mbali mbali ikiwemo Uchumi, elimu, afya , ajira kwa vijana na mambo mengineyo.

Naamini wasaidizi wake watamkumbusha hili.

Baada ya kusema hayo machache.

Niwatakieni tena Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya.
Ukihitaji hotuba atakachoropoka tusianze kushika vichwa, mwana kulifind.....
 
Hana mpya. Sasa hivi zile nyimbo za bwawa la umeme, treni ya kisasa, madaraja ya juu vimeshapoteza ladha. Atasema nini?
 
Heri ya Sikukuu ya Krismasi ndugu zangu?

Naona ipo haja ya kuwa na hotuba ya Rais kwa Taifa kabla ya kufunga mwaka 2020.

Hata akitoa Salamu za Mwaka Mpya nayo sio mbaya.

Hii itamuwezesha kufanya mambo makubwa mawili;

1. Kuwashukuru wananchi kwa kumchagua kwa awamu ya pili ( najua ameshafanya hili wakati wa ufunguzi wa Bunge lakini sio mbaya akifanya tena).

2. Kutoa muelekeo wa Serikali yake kwa mwaka 2021 katika mambo mbali mbali ikiwemo Uchumi, elimu, afya , ajira kwa vijana na mambo mengineyo.

Naamini wasaidizi wake watamkumbusha hili.

Baada ya kusema hayo machache.

Niwatakieni tena Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya.
Tulishajua anachotaka kuongea maana hotuba zake huwa ni zile zile. Aache tu maana hatakuwa na jipya la kuongea ya kusema tumechezewa sana, tumechelewa sana na tutembee kifua mbeleee.!
 
Back
Top Bottom