Ipo haja ya Hotuba ya Rais kabla ya kufunga mwaka 2020

Nani ana mda wa kumsikiliza mwizi
 
Hakuan haja na wala asijipe umhimu maana Watanzania tunaweza kuishi bila Hotuba wala kutakiwa heri ya Krismasi na mwaka npya kutoka kwake!
 
Acheni uwendawazimu .
Ni mwananchi gani aliyemchagua Rais ambaye kaleta hali ngumu kwa kila kundi?
Je, ni watumishi wa umma waliofanyiwa uhuni kwa miaka 6 ndio waliomchagua?
Je, ni wananchi wakulima walioteseka na soko la mazao yao kwa miaka 5 ndio waliomchagua?
Je, ni wafanyabiashara waliofuatwa na TRA walioambatana na askari wenye silaha ndio waliomchagua ?
Je, ni vijana waliokosa ajira serikalini na kwenye sekta binafsi ndio waliomchagua, huku serikali ikijitapa kumwaga ajira 5+8 milions?
 
Ameshatoa salamu za krismasi
Masharti ya ukimbizi hayamruhusu kuongelea siasa
Kwa kauli yake mwenyewe atatoa hotuba kesho kutwa. Hayo masharti ya ukimbizi mliyaweka hapo Lumumba.
 

Ashakuru wananchi kwa kumchagua? Ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.

Hata akihutubia hana jipya bali itakuwa marudio kwa yale yale anayoongea kila mara. Labda awahutubie wanaccm, maana wao ndio wanaamini bado ana jipya.
 

Yaani hao wabunge hata wazeekee Bungeni hakuna mwenye tatizo, ila sio kama wanachama wa cdm. Hiyo itazidi kudhihirisha kuwa awamu hii haikuwahi kuheshimu katiba, hiyo itatoa mwanya kwa wengine siku za mbeleni kutokuheshimu hiyo katiba dhid yao. Ifahamike kuna sehemu katika katiba inataka baadhi ya watu wasishitakiwe, wajue kifungu hicho itakuwa sio lazima kitekelezwe maana wataambiwa pia wao hawakuheshimu katiba.
 
Ameshatoa salamu za krismasi
Masharti ya ukimbizi hayamruhusu kuongelea siasa

Yule Mjinga aliwajaza ujinga na nyie mkajaa wazima wazima. Anaongelea siasa muda na wakati wowote atakao.
 
Rais yupi( huyu mropokaji?) ,na alichaguliwa na nani,una hakika alichaguliwa na "wananchi? Awashukuru NEC na TISS/POLICCM!
 
Mimi nadhani niongezee nyama pia kama idara ya ikulu wangempa nafasi pia atoe dira na mipango ya serikali 2021. Ingependeza nakuleta furaha.
 
Hivi kama mnaona kuna uvunjifu wa katiba mnasubiri nini kwenda mahakamani?

Spika anajitetea anasema alipewa majina na Nec na yeye kazi yake ni kuapisha tu. Mbona hamtaki ukweli ujulikane nani alipeleka majina Nec?
 
Na watu kama mimi na wengine! Au unajiona wewe ni "mtu zaidi" ya wengine???
Watz tupo mil 60, mnaweza mkawa elfu mbili hamtaki kusikiliza hotuba. Zaidi ya mil 59 wanashauku ya kusikiliza. Tumia akili
 
Watz tupo mil 60, mnaweza mkawa elfu mbili hamtaki kusikiliza hotuba. Zaidi ya mil 59 wanashauku ya kusikiliza. Tumia akili
Wewe umetumia akili gani kuhitimisha hivyo? Utafiti gani umefanya na lini kuthibitisha? No research no right to speak!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…