Ipo haja ya kumuombea Magufuli msamaha, lawama ni nyingi mno

Ipo haja ya kumuombea Magufuli msamaha, lawama ni nyingi mno

Tuko na rais wetu mpendwa mama samia suluhu hasani anaejua nn maana na utu na uongozi, so acheni kutuambia mambo ya legacy ya yule muhuni.
Naunga mkono hoja. Mama anaupiga mwingi sio kama yule mwendakuzimu
 
Ndugu zangu Watanzania mimi ni kati ya watu waliomchukia sana Magufuli kwa sababu ya aina ya uongozi ila nimetafakari sana tumsamehe tumuombee.

Sababu zangu

Viongozi wengi hukosea awamu ya kwanza ila ya pili hujirekebisha pengine Magufuli angejirudi katika awamu ya pili ila Mungu hakumpa nafasi.

Hii nchi kweli kuna mambo tulizingua hivyo tulihitaji angalau mtu wa aina yake ila tulikosa speed governer na regulator.
mtu anayeishi maisha ya mateso au mpaka kuja kufanikiwa kwake amepitia maisha ya mateso na maumivu kwa muda mtefu, watu wa namna hii ndani yao hujengeka hali na roho ya ukatili wa kiwango cha SGR.

siku mtu huyu wa dizain hii, akipata mamlaka au akifanikiwa, cha moto mtakiona na namba mtaisoma, itakuwa ni mwendo wa kulipiza visasi na ukatili kwa kwenda mbele. Mfano mzr kabisa ni Adolf Hitler na madikteta wengine wakiwemo magaidi.
 
Naunga mkono hoja. Mama anaupiga mwingi sio kama yule mwendakuzimu

Kwa hiyo CDM kwa sasa mmekuwa wapenzi wa CCM? Mmeshamtelekeza tena Lisu? Btw hakuna Katiba mpya,CCM iko busy na kujenga Nchi,hapo vipi,tutoe povu au kazi iendeleee[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo CDM kwa sasa mmekuwa wapenzi wa CCM? Mmeshamtelekeza tena Lisu? Btw hakuna Katiba mpya,CCM iko busy na kujenga Nchi,hapo vipi,tutoe povu au kazi iendeleee[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha we zuga tu. Chama tumeshakirudisha nyumbani. Hatutarudia tena kukikabidhi kea mazwazwa. Miaka mitano tumejifunza kosa tulilofanya...

Mungu yu mwema sana kutuondolea lile jamaa
 
Ndugu zangu Watanzania mimi ni kati ya watu waliomchukia sana Magufuli kwa sababu ya aina ya uongozi ila nimetafakari sana tumsamehe tumuombee.

Sababu zangu

Viongozi wengi hukosea awamu ya kwanza ila ya pili hujirekebisha pengine Magufuli angejirudi katika awamu ya pili ila Mungu hakumpa nafasi.

Hii nchi kweli kuna mambo tulizingua hivyo tulihitaji angalau mtu wa aina yake ila tulikosa speed governer na regulator.
Umuombee msamaha kwa nani wakati amepumzika mbinguni kwa baba baada ya kumaliza kazi yake.. Haya ni ya kiroho zaidi na wewe huwezi kuyajua.. Labda upate mtu aliyefunuliwa akuelezee.. Vinginevyo utaendelea kuishi na jinamizi na kujitesa wakati unayemchukia huna uwezo wala mamlaka naye..
 
Mkuu umeongea jambo muhimu sana. Samia aombe msamaha.mimi nina kinyongo sana na marehemu. ameumiza watu
 
Watu wa kimara wabomoleeni tu hizo nyumba lkn watu wa Mwanza msiwabomolee hao ndio walionipigia kura nikawa rais.

Jamaa kwa kubagua alikua vizuri.
Nikikumbuka udhalimu huu napata sonona.
 
Angeongea member mwingine nisingeshangaa,siyo wewe Mkuu,huwezi kwenda too low kiasi hiki.Tangu lini umekuwa na hoja nyepesi nyepesi kiasi hiki.
toka jpm amekufa huyu mzee,mshana,na wengine wameambujizwa ule ujinga wa duggai.halafu yeye akapona.
 
Alikua ana vichambo na mipasho utadhani MAZARAMO[emoji116]
2021-06-15-12-58-09.jpg
 
Ipo haja ya wakpsoaji wa Magufuli kuomba msamaha.Kwani pengo lake linaonekana na halizibiki.Wizi,Ujambazi,Uzembe makazini,Uchumi kudorora na mengineyo yanaonekana! Kwakweli ipo haja kama taifa kuwataka wale wakosoaji waombe msamaha kwa Mungu ili kuondoa laana hii.
 
Ndiyo unadhihirisha ukichaa wako kabisa,umebaki kuokota makopo tu,mtu mzima unakuwa na mdomo mchafu kama choo cha stand na wewe unajionga GT? Mnafuataga nini huku JF kama style yenyewe ya kutetea hoja ni kitokwa na mitusi kama hukulelewa na Wazazi wako.
Habari za mchana mkuu, umepata lunch kweli??
 
Ndugu zangu Watanzania mimi ni kati ya watu waliomchukia sana Magufuli kwa sababu ya aina ya uongozi ila nimetafakari sana tumsamehe tumuombee.

Sababu zangu

Viongozi wengi hukosea awamu ya kwanza ila ya pili hujirekebisha pengine Magufuli angejirudi katika awamu ya pili ila Mungu hakumpa nafasi.

Hii nchi kweli kuna mambo tulizingua hivyo tulihitaji angalau mtu wa aina yake ila tulikosa speed governer na regulator.
Kaanze kumaambia wazazi wa Ben Saanane, Azory na familia ya yule aliyetawanywa utumbo kwa bomu kule mafinga... Wakikuelewa uje utuambie huku
 
Back
Top Bottom