Ipo haja ya kumuombea Magufuli msamaha, lawama ni nyingi mno

Ipo haja ya kumuombea Magufuli msamaha, lawama ni nyingi mno

Shida ni kwamba maono ya Magufuli alikuwa anataka kuyatekeleza kwa watu wapumbavu.

Yani kosa la Magufuli ni kujaribu kuwazindua watu wajinga wajitambue

Kwa kweli mkuu umeongea uhalisia kabisa.
Kila Mtu ni mjuaji anataka anufaike yeye binafsi kiufupi ni kua tuna ubinafsi

Maendeleo hayaji bila gharama na gharama na ndo kama hizo. Sasa tumezoea kubembelezwa na kulishwa bila jasho lazima watu wamchukie.
 
Mkuu una hoja ya msingi, sasa unaonaje ukitoka nyuma ya keyboard ukaingia mtaani hata hapo ulipo mtaani kwenu ukawakusanya watu halafu uwaambie ujumbe huu huu uliotuletea hapa, halafu utuletee mrejesho na kavideo pia katapendeza. Maana binafsi nauona huo moyo wako wa kuhamasisha watu wengi wenye hisia kama yako washiriki jambo hili, basi ingia field sasa mzee. Au ukishindwa kuwakusanya watu mtaani basi chagua basi lolote au kwenye mwendokasi uwafikishie watanzania wenzetu ujumbe huu ili nao ambao washiriki hilo suala.

Ahahahahha
 
Shida ni kwamba maono ya Magufuli alikuwa anataka kuyatekeleza kwa watu wapumbavu.

Yani kosa la Magufuli ni kujaribu kuwazindua watu wajinga wajitambue

Utawawaze Bavicha Wazee wa deal,sasa hivi wanataka pesa irudi mtaani kwa gharama yoyote ile ili waendelee kupiga deal.Ukiwaambia kufanya kazi unakuwa kama umewatukana.Wazee wa kuzungusha mikono hewani.
 
Sasa huko si ndipo alipo mwendazake? Nadhani watakutana na kumalizana hukohuko. Kule hakuna walinzi kwahiyo itakuwa uso kwa uso...

Angeongea member mwingine nisingeshangaa,siyo wewe Mkuu,huwezi kwenda too low kiasi hiki.Tangu lini umekuwa na hoja nyepesi nyepesi kiasi hiki.
 
Utawawaze Bavicha Wazee wa deal,sasa hivi wanataka pesa irudi mtaani kwa gharama yoyote ile ili waendelee kupiga deal.Ukiwaambia kufanya kazi unakuwa kama umewatukana.Wazee wa kuzungusha mikono hewani.
Hahahaa kumbe?

Pole sana. Kazi inaendelea kiroho safi kabisa...

Nyie endeleeni na legacy...
 
Tuko na rais wetu mpendwa mama samia suluhu hasani anaejua nn maana na utu na uongozi, so acheni kutuambia mambo ya legacy ya yule muhuni.
 
Kufa basi umfate shetwaani mwenzio kuzimu mbwa wewe

Ndiyo unadhihirisha ukichaa wako kabisa,umebaki kuokota makopo tu,mtu mzima unakuwa na mdomo mchafu kama choo cha stand na wewe unajionga GT? Mnafuataga nini huku JF kama style yenyewe ya kutetea hoja ni kitokwa na mitusi kama hukulelewa na Wazazi wako.
 
Back
Top Bottom