Ipo haja ya kumuombea Magufuli msamaha, lawama ni nyingi mno

Ipo haja ya kumuombea Magufuli msamaha, lawama ni nyingi mno

Yeye ndiye alikuwa mjinga namba moja, huku niliko kila ukijitambulisha unatokea tz wanauliza kwa yule rais mjinga aliyeikana corona lakini ikamwondoa mwenyewe? Wanashangaa tulimchaguaje zwazwa atuongoze
Sasa kama uko kwenye kundi wajinga wenzio unategemea wakujibuje?
 
Mkuu imeandikwa tusamehe x7x70 kwa sababu si rahisi kufanya hivyo (difficult but not impossible).
Anayesamehewa ni anayeomba radhi. Huyu kafa bila kuomba radhi na hata huko Jehanum sidhani kama kuna msamaha. Mimi napendekeza kwamba viongozi wake aliowateua na washirika wake ambao bado tunao hapa hapa, wajitokeze na watuombe radhi Watanzania.

Wakuu wote wa vyombo vya dola waliokuwa wakitekeleza maagizo yake dhalimu watuombe radhi kwa matendo yao tukianza na wakuu wa vyombo vya dola kama polisi, usalama wa taifa, takukuru, wakuu wa mikoa, wilaya pamoja na taasisi za kusimamia haki.
 
Wengi wa wachangiaji ni bendera fuata upepo, ukisoma comments ndipo utajua nani ni nani humu.

Mlilia kumpata kiongozi asiyecheka cheka na mbabe, kikwete aliwaambia kifaa hicho nawaletea, leo kila mtu anamwaga sumu.

Kila kiongozi ana aina yake ya kuongoza that's why alipokuwepo Kikwete mlimsema vibaya kuwa anacheka cheka.

Hakuna binadamu/mtanzania anayeweza kurizika ...
 
Lawama zipo jf na twitter. Mitaa imemiss ile mbaya.
IMG_20210615_070908_641.jpg
 
Kwa kosa gani? Huo msamaha baki nao mwenyewe. Alitimiza majukumu yake ya kikatiba na kuleta maaendeleo kwa spidi kubwa hadi kifo kilipomchukua. Staili yake ya uongozi haikuwa ya blabla na maneno matamu mliyozoeshwa bali vitendo vyenye matokeo tu.
Kikatiba yepi. Au umakariri tu kikatiba
 
Ajiombee mwenyewe huko alipo
Ndg zangu watanzani mimi ni kati ya watu waliomchukia sana magu kwasababu ya aina ya uongozi ila nimetafakari sana tumsamehe tumuombee.

Sababu zangu

Viongozi wengi hukosea awamu ya kwanza ila ya pili hujirekebisha pengine jpm angejirudi ktk awamu ya pili ila mungu hakumpa nafasi.

Hii nchi kweli kuna mambo tulizingua hivyo tulihitaji angalau mtu wa aina yake ila tulikosa speed governer na regulator.
 
Kwa hiyo walewale watu waliojitokeza kwa wingi kumuaga ,na ambao tuliwaona kwa macho yetu.Na wengine wakafa kama 40.Na hawakubebwa hata na malori.Ndio wanaorusha lawama?Au ni kikundi kidogo cha majambazi,walarushwa,wauza madawa,wenye vyeti feki,mliojificha mitandaoni.
 
Nafasi ya kutubu ni duniani ukiwa hai,Neno la Mungu linasema"Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu"Baada ya kufa ni hukumu tu,
 
Mkuu hata ukimuombea msamaha Kuna watu hawatoweza kumsamehe kwa sababu aliwabana Sana na wao Ni wakwepa Kodi,vyeti feki ,wapiga dili wakaishi maisha ambayo hawakuwahi kuwaza wataishi wanahasira sana.wengi wanaomtukana yule mzee Ni wabinafsi tu hawana mapenzi mema na taifa hili.
Kwako wewe,Lissu alikuwa mkwepa kodi au alikuwa na vyeti feki ambaye adhabu yake ni kumiminiwa risasi zisizokuwa na idadi kwa nia ya kumuua. Ben Saanane vyeti feki adhabu yake ni kumpoteza, Azori Gwanda mkwepa kodi adhabu yake kumpoteza, Mawazo vyeti feki adhabu yake ni kupigwa mashoka na mapanga mpaka kufa, Mdude Nyagali mkwepa kodi, adhabu yake ni kumteka mara mbili na kumtesa sana na kisha mfungulie kesi ya madawa, Roma Mkatoliki, Mo Dewji nk.

Bila shaka wewe ulikuwa na maslahi na matukio tajwa hapo juu ndio maana huoni haya kufungua kinywa chako kusifia uovu.
 
Ndg zangu watanzani mimi ni kati ya watu waliomchukia sana magu kwasababu ya aina ya uongozi ila nimetafakari sana tumsamehe tumuombee.

Sababu zangu

Viongozi wengi hukosea awamu ya kwanza ila ya pili hujirekebisha pengine jpm angejirudi ktk awamu ya pili ila mungu hakumpa nafasi.

Hii nchi kweli kuna mambo tulizingua hivyo tulihitaji angalau mtu wa aina yake ila tulikosa speed governer na regulator.
Huyu tunaye kyama, hatapumzika Kwa Amani kamwe! Mwovu shweitwan waheed
 
Ndg zangu watanzani mimi ni kati ya watu waliomchukia sana magu kwasababu ya aina ya uongozi ila nimetafakari sana tumsamehe tumuombee.

Sababu zangu

Viongozi wengi hukosea awamu ya kwanza ila ya pili hujirekebisha pengine jpm angejirudi ktk awamu ya pili ila mungu hakumpa nafasi.

Hii nchi kweli kuna mambo tulizingua hivyo tulihitaji angalau mtu wa aina yake ila tulikosa speed governer na regulator.
"kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe, siku ile inakuja"
Usijidanganye uuwe watu, uzike watu hai ili ukifa uombewe, never!
 
Kwa hiyo walewale watu waliojitokeza kwa wingi kumuaga ,na ambao tuliwaona kwa macho yetu.Na wengine wakafa kama 40.Na hawakubebwa hata na malori.Ndio wanaorusha lawama?Au ni kikundi kidogo cha majambazi,walarushwa,wauza madawa,wenye vyeti feki,mliojificha mitandaoni.
IMG_20210613_190259_664.jpg

Kuelekea Oct 28, 2020 pana ID kadhaa za KIMKAKATI zaidi ziliibuka kama uyoga kote mitandaoni na huku JF pia.

Hii nayo ni mojawapo ndugu mjumbe?

Naomba kuanzia hapo kwanza.
 
Alikuta sukari sh ngapi?
Mafuta ya kula sh ngapi kwa ltr?...
Kaka usijisumbue juu ya hao mbumbumbu waimba mapambio. Kutokana na umbumbumbu wao Hayati kila alipokuwa akiwaambie Tanzania ni nchi tajiri na ataifanya kuwa donor country basi mbumbumbu walikuwa wakikenua meno na kuona maisha yao tayari yamebadilika kwa kauli hiyo.

Eti tutawapelekea wazungu mitumba ulaya. Mazuzu yanakenua meno, hata aliyelala njaa usiku wa jana kwa kauli hiyo tu anajiona nayeye ni kama Barhesa.

Kwa Mazuzu Hayati alikuwa shujaa.
 
Kaka usijisumbue juu ya hao mbumbumbu waimba mapambio. Kutokana na umbumbumbu wao Hayati kila alipokuwa akiwaambie Tanzania ni nchi tajiri na ataifanya kuwa donor country basi mbumbumbu walikuwa wakikenua meno na kuona maisha yao tayari yamebadilika kwa kauli hiyo...
Mi bado nasubiria tugawiwe zile Noah tulizoahidiwa baada ya kushikilia yale makinikia. Wale maprofesa walimpatia sana mwendazake...

Sijui PhD aliipataje yule jamaa.
 
Back
Top Bottom