Ipo haja ya kumuombea Magufuli msamaha, lawama ni nyingi mno

Ipo haja ya kumuombea Magufuli msamaha, lawama ni nyingi mno

Kafa sasa,una hali nzuri?
Magufuli amekufa hakika hali ni nzuri Sana. Hakuna kikundi cha WASIOJULIKANA kilichokuwa kinateka na kuua watu. Nafasi za kazi 9000 zimetangazwa vijana wetu watajiriwa. Wawekezaji wanakuja wanaleta mtaji na ajira zitatengenezwa. Vyama vya upinzani vinafanya mikutano ya ndani.

MWENDAZAKE should continue to Rot In Hell

Yako mengi sana yamefanyika ndani ya siku 100. NANI KAMA MAMA?
 
Magufuli Mwenyewe alishindwa kuwathibiti hawa watu .... walikuepo watu wengi walioonea watu wametesa watu wengi...sio hao alina Sabaya tu...Kwenye Utumishi wa Umma watu walizushiwa Ni chadema na kunyanyaswa sana....
 
Kwa kosa gani? Huo msamaha baki nao mwenyewe. Alitimiza majukumu yake ya kikatiba na kuleta maaendeleo kwa spidi kubwa hadi kifo kilipomchukua. Staili yake ya uongozi haikuwa ya blabla na maneno matamu mliyozoeshwa bali vitendo vyenye matokeo tu.

Imebidi nicheke tu Mkuu,eti anamwombea msamaha,nani kamwambia JPM anahitaji huo msamaha.Hizo ndizo akili za Bavicha,ujuaji mwingi hapa JF njoo sasa kwenye uhalisia,utabaki kushangaa.
 
Too late, alishatangulia mbele ya haki, huko atamalizana na Muumba wake.

Cha kujifunza tuangalie jinsi tunavyoishi duniani na wenzetu hata tukiwa juu sana tusijisahau maana hatujui siku wala saa tutakayorudi kwa Muumba wetu !

Na uzuri mwenye kuhukumu ni Muumba peke yake na si Bavicha wa JF
 
Mimi sio msukuma ila nilipenda uongozi wa JPM na watanzania kasoro wakaskazini walipenda uongozi wa JPM.
Sasa aliyekuambia mimi mchagga ni nani?
Sasa kama wewe ulipendezwa na uongozi wa mwendazake, usinilazimishe nami nipendezwe. Mimi nimependezwa na uongozi wa Samia, Jakaya na Mwinyi....

Tusipangiane
 
Bahati mbaya sana wewe utakuwa Jehenamu,so hamuwezi kukutana kamwe.
Sasa huko si ndipo alipo mwendazake? Nadhani watakutana na kumalizana hukohuko. Kule hakuna walinzi kwahiyo itakuwa uso kwa uso...
 
Back
Top Bottom