Naunga mkono hoja. Mama anaupiga mwingi sio kama yule mwendakuzimuTuko na rais wetu mpendwa mama samia suluhu hasani anaejua nn maana na utu na uongozi, so acheni kutuambia mambo ya legacy ya yule muhuni.
mtu anayeishi maisha ya mateso au mpaka kuja kufanikiwa kwake amepitia maisha ya mateso na maumivu kwa muda mtefu, watu wa namna hii ndani yao hujengeka hali na roho ya ukatili wa kiwango cha SGR.Ndugu zangu Watanzania mimi ni kati ya watu waliomchukia sana Magufuli kwa sababu ya aina ya uongozi ila nimetafakari sana tumsamehe tumuombee.
Sababu zangu
Viongozi wengi hukosea awamu ya kwanza ila ya pili hujirekebisha pengine Magufuli angejirudi katika awamu ya pili ila Mungu hakumpa nafasi.
Hii nchi kweli kuna mambo tulizingua hivyo tulihitaji angalau mtu wa aina yake ila tulikosa speed governer na regulator.
Wanazuga tu wanammisi. Kama wanammisi kweli wameze sumu wamfuate...Kufa basi umfate shetwaani mwenzio kuzimu mbwa wewe
Naunga mkono hoja. Mama anaupiga mwingi sio kama yule mwendakuzimu
Hahaha we zuga tu. Chama tumeshakirudisha nyumbani. Hatutarudia tena kukikabidhi kea mazwazwa. Miaka mitano tumejifunza kosa tulilofanya...Kwa hiyo CDM kwa sasa mmekuwa wapenzi wa CCM? Mmeshamtelekeza tena Lisu? Btw hakuna Katiba mpya,CCM iko busy na kujenga Nchi,hapo vipi,tutoe povu au kazi iendeleee[emoji23][emoji23][emoji23]
Magufuli alikuwa na maono mazuri ila aliyatekeleza kwa njia mbovu na pengine haramu.
Umejuaje kama mimi mwanaume kwani nshawahi kukubanduaMtu mzima tena jinsia ya kiume kuwa muongo kiasi hiki hata haipendezi.
Umuombee msamaha kwa nani wakati amepumzika mbinguni kwa baba baada ya kumaliza kazi yake.. Haya ni ya kiroho zaidi na wewe huwezi kuyajua.. Labda upate mtu aliyefunuliwa akuelezee.. Vinginevyo utaendelea kuishi na jinamizi na kujitesa wakati unayemchukia huna uwezo wala mamlaka naye..Ndugu zangu Watanzania mimi ni kati ya watu waliomchukia sana Magufuli kwa sababu ya aina ya uongozi ila nimetafakari sana tumsamehe tumuombee.
Sababu zangu
Viongozi wengi hukosea awamu ya kwanza ila ya pili hujirekebisha pengine Magufuli angejirudi katika awamu ya pili ila Mungu hakumpa nafasi.
Hii nchi kweli kuna mambo tulizingua hivyo tulihitaji angalau mtu wa aina yake ila tulikosa speed governer na regulator.
AstaghafirulilahUmejuaje kama mimi mwanaume kwani nshawahi kukubandua
Kabisa[emoji106]Magufuli alikuwa na maono mazuri ila aliyatekeleza kwa njia mbovu na pengine haramu.
Nikikumbuka udhalimu huu napata sonona.Watu wa kimara wabomoleeni tu hizo nyumba lkn watu wa Mwanza msiwabomolee hao ndio walionipigia kura nikawa rais.
Jamaa kwa kubagua alikua vizuri.
toka jpm amekufa huyu mzee,mshana,na wengine wameambujizwa ule ujinga wa duggai.halafu yeye akapona.Angeongea member mwingine nisingeshangaa,siyo wewe Mkuu,huwezi kwenda too low kiasi hiki.Tangu lini umekuwa na hoja nyepesi nyepesi kiasi hiki.
Simu yako ina uwezo wa kuingiza watu wangapi wakakaa humo bila kunyeshewa na mvua?Lawama zipo jf na twitter. Mitaa imemiss ile mbaya.
Habari za mchana mkuu, umepata lunch kweli??Ndiyo unadhihirisha ukichaa wako kabisa,umebaki kuokota makopo tu,mtu mzima unakuwa na mdomo mchafu kama choo cha stand na wewe unajionga GT? Mnafuataga nini huku JF kama style yenyewe ya kutetea hoja ni kitokwa na mitusi kama hukulelewa na Wazazi wako.
Umejuaje kama mimi mwanaume kwani nshawahi kukubandua
Sisi kura zetu zote kwa mama... Habari za CDM peleka kwa kina Mbowe.
Kaanze kumaambia wazazi wa Ben Saanane, Azory na familia ya yule aliyetawanywa utumbo kwa bomu kule mafinga... Wakikuelewa uje utuambie hukuNdugu zangu Watanzania mimi ni kati ya watu waliomchukia sana Magufuli kwa sababu ya aina ya uongozi ila nimetafakari sana tumsamehe tumuombee.
Sababu zangu
Viongozi wengi hukosea awamu ya kwanza ila ya pili hujirekebisha pengine Magufuli angejirudi katika awamu ya pili ila Mungu hakumpa nafasi.
Hii nchi kweli kuna mambo tulizingua hivyo tulihitaji angalau mtu wa aina yake ila tulikosa speed governer na regulator.