Ipo haja ya kumuombea Magufuli msamaha, lawama ni nyingi mno

Nakuuliza tena kwa hiyo sasa hivi huna haja tena na Mgombea kutoka Ufipani kura zote kwa Samia ambaye ni CCM siyo?
Ndio, kura zote kwa Samia.

Wasukuma mbaki kuchunga ng'ombe. Mmetuchafulia sana mji...
 
Jizi kuu tushalizika. Kama imekuuma, kunywa sumu nawe tukuzike.
Imebidi nikufuatilie...Siyo wewe ulitoa mapendekezo ya watu ambao wanatakiwa kuongoza?
Daah huoni aibu bwashe!
 
Imebidi nikufuatilie...Siyo wewe ulitoa mapendekezo ya watu ambao wanatakiwa kuongoza?
Daah huoni aibu bwashe!
Niliomba waongoze kwa miezi mitano. Bahati mbaya niliyeomba awe Rais hajawa. Badala yake tukampa kichaa niliyetaka awe waziri mkuu... kwa miezi mitano tu
 
Yeye mbona Ana PHD feki Lakini sisi tukamuacha tu.
Hata Urais wake ulikua feki,
Hata ubunge wake ulikuaga feki
Tumemuacha tu
 
Kaskazini walishaendelea hatupeleki maendeleo huko wasubiri kwanza.
 
Shida ni kwamba maono ya Magufuli alikuwa anataka kuyatekeleza kwa watu wapumbavu.

Yani kosa la Magufuli ni kujaribu kuwazindua watu wajinga wajitambue

Hafadhali umeliona hili mkuu...watu wanafikiria degree walizosomeshwa kwa mitaala ya kizungu ndio wamemaliza mchezo..kumbe wamefungwa kisaikolojia kila analolisema mzungu ndio la maana mtu mweusi akienda against eti mshamba...kumbe wao ndio ignorant watumwa wakutupwa...

Tusubirie tu muda ni dawa nzuri sana.
 
Kwanza hujui kuandika,hafadhali ndio nini?.Pili, acha kumsifia jambazi Magufuli.
 
Niliomba waongoze kwa miezi mitano. Bahati mbaya niliyeomba awe Rais hajawa. Badala yake tukampa kichaa niliyetaka awe waziri mkuu... kwa miezi mitano tu



Ha ha ha pale unapotafunwa na kauli zako mwenyewe Ame amekuumbua unabaki kupindua maneno tu,safari hii CCM wanawachezesha ngoma ya mdumange CDM sasa hivi mnademka mtu na beat za Samia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…