Ipo haja ya kumuombea Magufuli msamaha, lawama ni nyingi mno

Mmmh unamjua kweli..au unamzungumzia mtu mwingne
Ndg zangu watanzani mimi ni kati ya watu waliomchukia sana magu kwasababu ya aina ya uongozi ila nimetafakari sana tumsamehe tumuombee.

Sababu zangu

Viongozi wengi hukosea awamu ya kwanza ila ya pili hujirekebisha pengine jpm angejirudi ktk awamu ya pili ila mungu hakumpa nafasi.

Hii nchi kweli kuna mambo tulizingua hivyo tulihitaji angalau mtu wa aina yake ila tulikosa speed governer na regulator.
 
Maono yapi?..
Ya kutopandsha mishahara miaka mitano,.au ya kujenga uwanja wa ndege chato?
Magufuli alikuwa na maono mazuri ila aliyatekeleza kwa njia mbovu na pengine haramu.
 
Juzi nilikuwa pale morogoro nikapita juu ya ile reli kwa mguu tokea eneo linaitwa kwa wagogo kihonda mpaka kutokezea kwenye daraja la juu pale kwa chambo aisee ule udongo ulioinua tuta ni gorofa nne mpaka tano huyu mtu alikosa washauri ila nia njema alikuwa nayo
 
Kwa kosa gani? Huo msamaha baki nao mwenyewe. Alitimiza majukumu yake ya kikatiba na kuleta maaendeleo kwa spidi kubwa hadi kifo kilipomchukua. Staili yake ya uongozi haikuwa ya blabla na maneno matamu mliyozoeshwa bali vitendo vyenye matokeo tu.
Hatimaye shetani kamchukua😅😅
 
Lita moja ya Mafuta ya alizeti, double refined ( yasiyo na harufu). Imetoka SHS 4500 Hadi 9000.
 
Watu wa kimara wabomoleeni tu hizo nyumba lkn watu wa Mwanza msiwabomolee hao ndio walionipigia kura nikawa rais.

Jamaa kwa kubagua alikua vzr.
This was one of the devastating moments for innocent people who strugled for their future and it just took an eye blink to find their houses leveled without any compansation.. may GOD revive their energy and make their ways to success open.
 
Ndg zangu watanzani mimi ni kati ya watu waliomchukia sana magu kwasababu ya aina ya uongozi ila nimetafakari sana tumsamehe tumuombee.

Sababu zangu

Viongozi wengi hukosea awamu ya kwanza ila ya pili hujirekebisha pengine jpm angejirudi ktk awamu ya pili ila mungu hakumpa nafasi.

Hii nchi kweli kuna mambo tulizingua hivyo tulihitaji angalau mtu wa aina yake ila tulikosa speed governer na regulator.
Mkuu hata ukimuombea msamaha Kuna watu hawatoweza kumsamehe kwa sababu aliwabana Sana na wao Ni wakwepa Kodi,vyeti feki ,wapiga dili wakaishi maisha ambayo hawakuwahi kuwaza wataishi wanahasira sana.wengi wanaomtukana yule mzee Ni wabinafsi tu hawana mapenzi mema na taifa hili.
 
This was one of the devastating moments for innocent people who strugled for their future and it just took an eye blink to find their houses leveled without any compansation.. may GOD revive their energy and make their ways to success open.
Amen to that.
 
Hilo utajua mwenyewe..mimi as long alitimiza majukumu yake kwa nchi na hakuruhusu kucheka na kima yeyote ili asivune mabua wakati wa uongozi wake kwangu inatosha.
hahaha anaoza huko kuzimu. Maneno yako hasaidii chochote. Nchi sasa ina amani
 
Kwa kosa gani? Huo msamaha baki nao mwenyewe. Alitimiza majukumu yake ya kikatiba na kuleta maaendeleo kwa spidi kubwa hadi kifo kilipomchukua. Staili yake ya uongozi haikuwa ya blabla na maneno matamu mliyozoeshwa bali vitendo vyenye matokeo tu.
Maendeleo gani alileta zaidi ya kuua na kupiga risasi watu. Vijana kuwanyima ajira kisa ushamba wa kununua ndege ambapo mpaka marekani walimshangaa kuua watu kisa ndege. Haku a nchi yoyote duniani tajiri inayoweza kununua ndege cash tena zaidi ya kumi halafu watu wanakufa njaa na budget ya nchi ni 39. 5 trillion yote unahamishia kwenye ndege.

Mungu ametusaidi sasa hivi ajira nii za kumwaga hasa private sector imerudi kwenye mstari
 
Umechagua kuona ulichotaka kuona. Tunaoona maendeleo aliyofanya utuache kama hivi
 
Maendeleo gani alileta zaidi ya kuua na kupiga risasi watu. Vijana kuwanyima ajira kisa ushamba wa kununua ndege ambapo mpaka marekani walimshangaa kuua watu kisa ndege. Haku a nchi yoyote duniani tajiri inayoweza kununua ndege cash tena zaidi ya kumi halafu watu wanakufa njaa na budget ya nchi ni 39. 5 trillion yote unahamishia kwenye ndege.

Mungu ametusaidi sasa hivi ajira nii za kumwaga hasa private sector imerudi kwenye mstari
Alikupitia kwenye sakata la vyeti feki Nini?
 
Back
Top Bottom