Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Unamuombea msamaha halafu unatusimanga ! Sasa hatukubali , halafu msamaha anaomba mkosaji au familia yakeNdg zangu watanzani mimi ni kati ya watu waliomchukia sana magu kwasababu ya aina ya uongozi ila nimetafakari sana tumsamehe tumuombee.
Sababu zangu
Viongozi wengi hukosea awamu ya kwanza ila ya pili hujirekebisha pengine jpm angejirudi ktk awamu ya pili ila mungu hakumpa nafasi.
Hii nchi kweli kuna mambo tulizingua hivyo tulihitaji angalau mtu wa aina yake ila tulikosa speed governer na regulator.