Godee jr
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 1,836
- 2,536
Watu wa Jf na Twitter hawaishi mtaani kumbeLawama zipo jf na twitter. Mitaa imemiss ile mbaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wa Jf na Twitter hawaishi mtaani kumbeLawama zipo jf na twitter. Mitaa imemiss ile mbaya.
Kwani lisu akishikishwa unadhani kila mtu anashikishwa?Kwani jiwe alikuwa hashikishwi?
Kama ibilisi mpaka anaingia motoni kashindwa kukiua hicho chama, ndio mtaweza nyie wauza sura hivi sasa?nchi imefika ilipo naye mwendo ameumaliza.
kama damu haikumwagika 2020,kama nyinyi mashetani mlivyokuwa mnatamani,unadhani Mungu alikuwa anaiepusha damu ipi tena!!!
sad story ni kwamba punching bag imekwenda,kwa sasa hamjui mshike ajenda ipi raia wawaelewe.yes hii ndio story ya manyani na mwenye shamba kama aliyotusimulia ndugai.
poleni UFIPA,wakati tunampoteza magufuli mkifurahi,chama nacho kinakwenda kuzimu.
Kwa magufuli tulipigwa ndiyo maana God akatuondolea hilo balaaNdg zangu watanzani mimi ni kati ya watu waliomchukia sana magu kwasababu ya aina ya uongozi ila nimetafakari sana tumsamehe tumuombee.
Sababu zangu
Viongozi wengi hukosea awamu ya kwanza ila ya pili hujirekebisha pengine jpm angejirudi ktk awamu ya pili ila mungu hakumpa nafasi.
Hii nchi kweli kuna mambo tulizingua hivyo tulihitaji angalau mtu wa aina yake ila tulikosa speed governer na regulator.
Kwani lisu akishikishwa unadhani kila mtu anashikishwa?
KAUA WATU WENGI NA NUKA DAMU..ALIMUA KAKA YANGUukweli mchungu kamanda,hata tukisema tumridhishe mletamada,wananchi watatushangaa tunaomba msamaha magufuli kafanyaje??
Viwanda alivyokuwa ana danganya vipo wapiKwa kosa gani? Huo msamaha baki nao mwenyewe. Alitimiza majukumu yake ya kikatiba na kuleta maaendeleo kwa spidi kubwa hadi kifo kilipomchukua. Staili yake ya uongozi haikuwa ya blabla na maneno matamu mliyozoeshwa bali vitendo vyenye matokeo tu.
chama kipi unazungumzia hiki,kinachochangisha buku buku kujenga viosk 2021!![emoji16][emoji16].Kama ibilisi mpaka anaingia motoni kashindwa kukiua hicho chama, ndio mtaweza nyie wauza sura hivi sasa?
kaka yako alikuwa nani mpaka akauawa na magufuli!!!KAUA WATU WENGI NA NUKA DAMU..ALIMUA KAKA YANGU
chama kipi unazungumzia hiki,kinachochangisha buku buku kujenga viosk 2021!![emoji16][emoji16].
propaganda zimeshakulemaza wewe.
kama leo hii kilichokuwa chama kikuu cha upinzani kinatajwa na TLP pamoja,nina kosa lipi nikisema kimeshajifia!!!Hicho hicho cha buku buku, hebu waambie TLP wachangishe hizo buku buku uone kama watapata hata laki 5
JPM amekosea nini kikubwa hivyo cha kuombewa msamaha? Hivi kwani yeye tu ndio ana dhambi?Pengine alikuwa mkali na katili kwa wapinzani wake..lakini anayeiba dawa za wagonjwa na kuruhusu wenye dhamana kuiba maoi ya umma naye hatakiwi kuombewa msamaha? Au sababu wanaoibiwa wengi hawana platform kama hizi sababu hawakusoma?Ndg zangu watanzani mimi ni kati ya watu waliomchukia sana magu kwasababu ya aina ya uongozi ila nimetafakari sana tumsamehe tumuombee.
Sababu zangu
Viongozi wengi hukosea awamu ya kwanza ila ya pili hujirekebisha pengine jpm angejirudi ktk awamu ya pili ila mungu hakumpa nafasi.
Hii nchi kweli kuna mambo tulizingua hivyo tulihitaji angalau mtu wa aina yake ila tulikosa speed governer na regulator.
Kwa kuwa lisu anashikishwa basi na wewe unashikishwa?Si tulikuwa tunaona kwa macho yetu.
kama leo hii kilichokuwa chama kikuu cha upinzani kinatajwa na TLP pamoja,nina kosa lipi nikisema kimeshajifia!!!
2021 twende na mama,2025 kila mtu akale alipopeleka mboga.
Kwa kuwa lisu anashikishwa basi na wewe unashikishwa?
ccm ndio chama dola mkuu,haijalishi unakichukia au unakionea wivu.Kwani tofauti ni ipi, maana sasa hivi ccm inatajwa na chama cha interhamwe.
BoraMaono yapi?..
Ya kutopandsha mishahara miaka mitano,.au ya kujenga uwanja wa ndege chato?
Maviongozi huko serikalin ni mapuuz sana..yaani hayabadiliki...Too late, alishatangulia mbele ya haki, huko atamalizana na Muumba wake.
Cha kujifunza tuangalie jinsi tunavyoishi duniani na wenzetu hata tukiwa juu sana tusijisahau maana hatujui siku wala saa tutakayorudi kwa Muumba wetu !
Trampo alikiona cha mtema kuni...😂😂😂😂"asietaka kutoa hela abaki na mav* yake nyumbani"