Ipo haja ya kumuombea Magufuli msamaha, lawama ni nyingi mno

Ipo haja ya kumuombea Magufuli msamaha, lawama ni nyingi mno

Kila binadamu ana mapungufu na madhaifu yake, tumsamehe kwa mambo hayo.

Ila hapo kwa bibi najua huwezi kamweeh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila mapungufu yakizidi mema, lazima chuki itamalaki...

Hapo kwa bibi kama huamini hebu mpigie simu umwambie anjiaribu. Ila uwe tayari kuchukua nafasi yake
 
Ila mapungufu yakizidi mema, lazima chuki itamalaki...

Hapo kwa bibi kama huamini hebu mpigie simu umwambie anjiaribu. Ila uwe tayari kuchukua nafasi yake
[emoji23][emoji23][emoji23] hivi babuuh una nini wee? Ngoja nimpigie nimuulize vizuri,
Kwani wee huchepuki? [emoji23][emoji23]
 
Ila mapungufu yakizidi mema, lazima chuki itamalaki...

Hapo kwa bibi kama huamini hebu mpigie simu umwambie anjiaribu. Ila uwe tayari kuchukua nafasi yake
We JIZI la vyeti umeamua kujifaragua kwa mahaba ya kuigiza!

Umenikimbia eeeeh?

Hahahaaa....
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hivi babuuh una nini wee? Ngoja nimpigie nimuulize vizuri,
Kwani wee huchepuki? [emoji23][emoji23]
Mimi huwa suchepukagi. Labda mara chache sana shetani akinizidi nguvu. Kama unabisha hebu twende PM tukapange pa kukutana tuongee kwa kina...

Ila usimwambie bibi
 
Mimi huwa suchepukagi. Labda mara chache sana shetani akinizidi nguvu. Kama unabisha hebu twende PM tukapange pa kukutana tuongee kwa kina...

Ila usimwambie bibi
Sasa kumbe huwa unazidiwa nguvu na shetani, bas na bibi pia huwa anaweza pitiwa. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa kumbe huwa unazidiwa nguvu na shetani, bas na bibi pia huwa anaweza pitiwa. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana yule nimemweka kwenye maombi... Akichepuka atakuwa kaamua. Dawa yake ni kumtema na kuoa dogodogo...

Lazima nifuate nyayo za wazee wemzangu kina mengi
 
Hapana yule nimemweka kwenye maombi... Akichepuka atakuwa kaamua. Dawa yake ni kumtema na kuoa dogodogo...

Lazima nifuate nyayo za wazee wemzangu kina mengi
Sasa matokeo ya huyo Machache umeyaona? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee mwenyewe umeshindwa kujiweka kwa maombi, ndo aweze mwenzio? Uwiiiiiih
 
huwezi kunipangia cha kufanya😕😕😕😕 ukajengee na makaburi ya ndugu zako kama una uwezo huo
Kwahiyo wewe ndio unaetakiwa kunipangia kumkumbuka mtu, 😁😁 hebu endelea kuomboleza achana na mimi.... usiendelee kunidandia kama ulivoanza.
 
Watanzania wana matatizo sana, ni mafundi wa kulalamika. Yule mzee aifanya kazi yake vizuri. Anyway, hakuna Rais ambaye hakulalamikiwa. Ujue wa TZ ni watu wa kulalamika kutwa nzima
 
Hata girlfriend wangu wa zamani alinikimbia akaenda kwa dingi yako ndo ukazaliwa...
Tulia wewe JIZI la vyeti.

Wenzio wako MEMKWA huko wanabukua na kupiga kitabu, wewe uko bize unalia lia unataka kuajiriwa bila kuwa na taaluma inayotambulika?

Janja janja tu unataka mtelezo kama binti yatima!?

Kaza matako hayo utunukiwe elimu halali na wewe ujidai hapa mjini, sio unajificha ficha kwenye mavyeti ya kuokota stationery.
 
huwezi kunipangia cha kufanya😕😕😕😕 ukajengee na makaburi ya ndugu zako kama una uwezo huo
Kahaba hilo, achana nalo.

Ananijua vizuri. I am crazy and she knows it.

Mimi ni kiboko ya makahaba.

Akijichanganya ntamvamia kama jeshi la nyuki.
 
Ndugu zangu Watanzania mimi ni kati ya watu waliomchukia sana Magufuli kwa sababu ya aina ya uongozi ila nimetafakari sana tumsamehe tumuombee.

Sababu zangu

Viongozi wengi hukosea awamu ya kwanza ila ya pili hujirekebisha pengine Magufuli angejirudi katika awamu ya pili ila Mungu hakumpa nafasi.

Hii nchi kweli kuna mambo tulizingua hivyo tulihitaji angalau mtu wa aina yake ila tulikosa speed governer na regulator.
Kwani lazima utushauri si umsamehe binafsi
 
Watu wa kimara wabomoleeni tu hizo nyumba lkn watu wa Mwanza msiwabomolee hao ndio walionipigia kura nikawa rais.

Jamaa kwa kubagua alikua vizuri.
Hapa nasemehe vipi kaka sana sana unataka kutonesha kidonda. [emoji22][emoji22]
 
Back
Top Bottom