Uchaguzi 2020 Ipo mifano hai kuwa Lissu atashinda Urais 2020, CCM tusijipe matumaini nawaambieni

HUna tofauti ya kimawzo na mabibi na mabubu waliokuwepo enzi za chama kimoja, duka la kijiji nk. Mambo yamebadilika mkuu wapiga kura wengi mwaka huu si wale wa enzi za chama kimoja, wengi wamezaliwa ama kukulia katika mfumo wa dot com na vyama vingi. Hebu fikiri ITV wakizima sauti,kwenye mitandao ya kijamii sauti inapatikana vizuri tu. TBC ikigeuzwa mali ya ccm lakini kwenye social media tunapata taarifa nyingi zaidi zikicover vyama vyote kuliko hizo ta tbc-ccm
on top to that kila kijana anapambania smartphone,hakika ccm ipo mbioni kufutika kwa haya maendeleo ya kitechnology
 
Wasalaam wajumbe wa jukwaa hili!

Naomba kudeclear kabisa kua mimi ni Mwanaccm toka 1997, nachozingumzwa hapa naomba nisipelekwe ufipani.

Ninachoshangaa na wanaccm wenzangu kujawa hopes kua tunaweza kushinda uchaguzi huu kwa urahisi hivyo, naomba ni waambieni kwa ushahidi huu kua Lissu ni kisiki kizito mara 10 ya Dr Slaa wa 2010 au LOWASSA wa 2015.

KWANINI LISSU ANAWEZA KUSHINDA?
Nikikumbuka na ya kuyafikiria haya ninashauri kabisa CCM tusibweteke na kujisahau.

1.Mwaka 2010 Tundu Lissu aliwahi kushinda ubunge katikati ya ngome ya CCM mkoa wa Singida na kujinyakulia Jimbo la Singida mashariki huku akiwa na madiwani 3 tu kati ya 17. Awamu iliyofuata 2015 alishinda tena na kuchukua kata 16 za madiwani akipoteza 1 tu.

2. Kuna wabunge wa CHADEMA wenye kauli kali sana za kujiamini na zisizoogopa mtu kama vile Mbowe, John Mnyika, John Heche,Godbless Lema na Halima Mdee, tujiulize kama kweli watanzania hawapendi kauli kali kwanini wabunge hawa mpaka leo hawajawahi kushindwa kwenye majimbo yao?

Kama watanzania wanapenda kauli za ukali basi Lisu anaweza kutoboa na lazima tufahamu kua ukali wa Lissu na Dr Mafufuli ni tofauti kidogo, Lissu anazidi kidogo ukali na Ukali wake ni unaambatana na sequences zenye facts za kisheria na hivi ni mtaalam wa sheria.

3. Kwanini hatuelewi kuwa Lissu ni mwanasheria mbozi, huu ushindi wa mezani wa kupita bila kupingwa tunajua atawashauri na kuwasomesha nini wagombea wa ubunge na udiwani?
Badala ya sisi kuweka mapingamizi basi tutakuta wao wametujazia mapingamizi.

Mkitaka kulijua hili muulizeni kuja jamaa moja anaitwa Wilson Nkhambaku mwaka 2010 alipohama CCM na kujiunga CHADEMA jimbo la Singida Magharibi baada ya kuonewa kwenye kura za maoni ccm, tulikimbilia kumwekea pingamizi lakini alichokifanya Lissu tunakijua mpaka huyo jamaa kupewa nafasi ya kugombea?

4.Niwaambieni kua Tundu Lissu ni zaidi ya jeuri kwenye mikakati ya uchaguzi, huyu ndiye aliyewashauri CHADEMA wenzake kua muda umeenda waachane na kulia na tume huru ya uchaguzi, aliwaambia "Tutashinda kwa tume hii hii pamoja na mapungufu yake".

Je, kuna nini hapo?

5.Jimbo la Singida Mashariki ni moja ya majimbo mengi Tanzania ambalo madiwani wake wote ni CHADEMA, Pamoja na jimbo kuchukuliwa Lissu akiwa ICU na kupewa Jamaa yetu moja wa CCM aitwaye Miraji Mtaturu lakini hakuna diwani hata mmoja aliyeunga mkono juhudi, tunajua Lissu aliwaambia nini?

Tukubali tuukatae ni lazima tuelewe kua uchaguzi huu wa mwaka huu siyo wa kawaida.

Lissu ashinde labda Mungu wa mbinguni aende likizo
 
Yani unafananisha ubunge wenye wapiga kura wasiozidi laki moja na uchaguzi wa urais unaohitaji wapiga kura zaidi ya milion 20?
 
Kilikuwa na huo uzoefu walipokuwepo watu ambao ni vichwa kama akina kinana, Nape na Januari lakini hii timu ya sasa hakuna jipya siasa za mazoea zimepitwa na wakati.
Hata wakati wa hao uliowataja mlikuwa mnasema hawana ishu tena mkasema kina Nape wapo upande wa Lowasa!

Tatizo mnaichukulia ccm kama vile chama cha vikoba
 
Kwa hiyo tume ya uchaguzi imekuwa huru automatically baada ya Lisu kuteuliwa na chama chake?😁!
 
Wasalaam wajumbe wa jukwaa hili!

Naomba kudeclear kabisa kua mimi ni Mwanaccm toka 1997, nachozingumzwa hapa naomba nisipelekwe ufipani.

Ninachoshangaa na wanaccm wenzangu kujawa hopes kua tunaweza kushinda uchaguzi huu kwa urahisi hivyo, naomba ni waambieni kwa ushahidi huu kua Lissu ni kisiki kizito mara 10 ya Dr Slaa wa 2010 au LOWASSA wa 2015.

KWANINI LISSU ANAWEZA KUSHINDA?
Nikikumbuka na ya kuyafikiria haya ninashauri kabisa CCM tusibweteke na kujisahau.

1.Mwaka 2010 Tundu Lissu aliwahi kushinda ubunge katikati ya ngome ya CCM mkoa wa Singida na kujinyakulia Jimbo la Singida mashariki huku akiwa na madiwani 3 tu kati ya 17. Awamu iliyofuata 2015 alishinda tena na kuchukua kata 16 za madiwani akipoteza 1 tu.

2. Kuna wabunge wa CHADEMA wenye kauli kali sana za kujiamini na zisizoogopa mtu kama vile Mbowe, John Mnyika, John Heche,Godbless Lema na Halima Mdee, tujiulize kama kweli watanzania hawapendi kauli kali kwanini wabunge hawa mpaka leo hawajawahi kushindwa kwenye majimbo yao?

Kama watanzania wanapenda kauli za ukali basi Lisu anaweza kutoboa na lazima tufahamu kua ukali wa Lissu na Dr Mafufuli ni tofauti kidogo, Lissu anazidi kidogo ukali na Ukali wake ni unaambatana na sequences zenye facts za kisheria na hivi ni mtaalam wa sheria.

3. Kwanini hatuelewi kuwa Lissu ni mwanasheria mbozi, huu ushindi wa mezani wa kupita bila kupingwa tunajua atawashauri na kuwasomesha nini wagombea wa ubunge na udiwani?
Badala ya sisi kuweka mapingamizi basi tutakuta wao wametujazia mapingamizi.

Mkitaka kulijua hili muulizeni kuja jamaa moja anaitwa Wilson Nkhambaku mwaka 2010 alipohama CCM na kujiunga CHADEMA jimbo la Singida Magharibi baada ya kuonewa kwenye kura za maoni ccm, tulikimbilia kumwekea pingamizi lakini alichokifanya Lissu tunakijua mpaka huyo jamaa kupewa nafasi ya kugombea?

4.Niwaambieni kua Tundu Lissu ni zaidi ya jeuri kwenye mikakati ya uchaguzi, huyu ndiye aliyewashauri CHADEMA wenzake kua muda umeenda waachane na kulia na tume huru ya uchaguzi, aliwaambia "Tutashinda kwa tume hii hii pamoja na mapungufu yake".

Je, kuna nini hapo?

5.Jimbo la Singida Mashariki ni moja ya majimbo mengi Tanzania ambalo madiwani wake wote ni CHADEMA, Pamoja na jimbo kuchukuliwa Lissu akiwa ICU na kupewa Jamaa yetu moja wa CCM aitwaye Miraji Mtaturu lakini hakuna diwani hata mmoja aliyeunga mkono juhudi, tunajua Lissu aliwaambia nini?

Tukubali tuukatae ni lazima tuelewe kua uchaguzi huu wa mwaka huu siyo wa kawaida.
Mahanhu nakufahamu vyema kabisa kuwa wewe ni CCM kindakindaki, nashukuru kwa kukuona hili. Lissu ni habari nyingine kabisa
 
Sisi tumechoka. Nafikiri ccm itakomaa tu kubaki madarakani. Ila mwaka huu tutegemee nchi za wenzetu wakiongozwa na Kenya kuja kulinda amani hapa. Ule mwisho wa kulialia umeisha. Tutauwasha moto kama ilivyokuwa Serbia kipindi cha Slobodan Milosevic. Watu wataishia kuburutwa mabarabarani.
 
Wasalaam wajumbe wa jukwaa hili!

Naomba kudeclear kabisa kua mimi ni Mwanaccm toka 1997, nachozingumzwa hapa naomba nisipelekwe ufipani.

Ninachoshangaa na wanaccm wenzangu kujawa hopes kua tunaweza kushinda uchaguzi huu kwa urahisi hivyo, naomba ni waambieni kwa ushahidi huu kua Lissu ni kisiki kizito mara 10 ya Dr Slaa wa 2010 au LOWASSA wa 2015.

KWANINI LISSU ANAWEZA KUSHINDA?
Nikikumbuka na ya kuyafikiria haya ninashauri kabisa CCM tusibweteke na kujisahau.

1.Mwaka 2010 Tundu Lissu aliwahi kushinda ubunge katikati ya ngome ya CCM mkoa wa Singida na kujinyakulia Jimbo la Singida mashariki huku akiwa na madiwani 3 tu kati ya 17. Awamu iliyofuata 2015 alishinda tena na kuchukua kata 16 za madiwani akipoteza 1 tu.

2. Kuna wabunge wa CHADEMA wenye kauli kali sana za kujiamini na zisizoogopa mtu kama vile Mbowe, John Mnyika, John Heche,Godbless Lema na Halima Mdee, tujiulize kama kweli watanzania hawapendi kauli kali kwanini wabunge hawa mpaka leo hawajawahi kushindwa kwenye majimbo yao?

Kama watanzania wanapenda kauli za ukali basi Lisu anaweza kutoboa na lazima tufahamu kua ukali wa Lissu na Dr Mafufuli ni tofauti kidogo, Lissu anazidi kidogo ukali na Ukali wake ni unaambatana na sequences zenye facts za kisheria na hivi ni mtaalam wa sheria.

3. Kwanini hatuelewi kuwa Lissu ni mwanasheria mbozi, huu ushindi wa mezani wa kupita bila kupingwa tunajua atawashauri na kuwasomesha nini wagombea wa ubunge na udiwani?
Badala ya sisi kuweka mapingamizi basi tutakuta wao wametujazia mapingamizi.

Mkitaka kulijua hili muulizeni kuja jamaa moja anaitwa Wilson Nkhambaku mwaka 2010 alipohama CCM na kujiunga CHADEMA jimbo la Singida Magharibi baada ya kuonewa kwenye kura za maoni ccm, tulikimbilia kumwekea pingamizi lakini alichokifanya Lissu tunakijua mpaka huyo jamaa kupewa nafasi ya kugombea?

4.Niwaambieni kua Tundu Lissu ni zaidi ya jeuri kwenye mikakati ya uchaguzi, huyu ndiye aliyewashauri CHADEMA wenzake kua muda umeenda waachane na kulia na tume huru ya uchaguzi, aliwaambia "Tutashinda kwa tume hii hii pamoja na mapungufu yake".

Je, kuna nini hapo?

5.Jimbo la Singida Mashariki ni moja ya majimbo mengi Tanzania ambalo madiwani wake wote ni CHADEMA, Pamoja na jimbo kuchukuliwa Lissu akiwa ICU na kupewa Jamaa yetu moja wa CCM aitwaye Miraji Mtaturu lakini hakuna diwani hata mmoja aliyeunga mkono juhudi, tunajua Lissu aliwaambia nini?

Tukubali tuukatae ni lazima tuelewe kua uchaguzi huu wa mwaka huu siyo wa kawaida.
We n CCM au chichi m?
 
mkuu umepiga spana sio za nchi hii watu kama nyie ndo mlitaliwa kuwa washauri wa ccm maana unapojua kuwa una hali ngumu ndo unakua mwanzo mzuri wa kujipanga kumkabili adui wako kitu ambacho wanaccm wengi wameshindwa kullikubali matokeo yake wanaendelea ku relax mkuu ,uchaguzi huu ni mgum kwelikweli na utakua mtam kweli kweli ccm wasipokua makin saa tatu hasubui watakua wamegalagazwa maana naona hata amasa ya watu kupiga kura ndani ya mda mfupi inazidi kuongezeka mwaafa
 
Ccm hawana akili na hawajitambui......

Wameishiwa pumzi...

Kutoka kupiga pushup hadharani mpaka kuozesha mama mzazi kwa jogoo na kula mahindi.....???
 
Back
Top Bottom