on top to that kila kijana anapambania smartphone,hakika ccm ipo mbioni kufutika kwa haya maendeleo ya kitechnologyHUna tofauti ya kimawzo na mabibi na mabubu waliokuwepo enzi za chama kimoja, duka la kijiji nk. Mambo yamebadilika mkuu wapiga kura wengi mwaka huu si wale wa enzi za chama kimoja, wengi wamezaliwa ama kukulia katika mfumo wa dot com na vyama vingi. Hebu fikiri ITV wakizima sauti,kwenye mitandao ya kijamii sauti inapatikana vizuri tu. TBC ikigeuzwa mali ya ccm lakini kwenye social media tunapata taarifa nyingi zaidi zikicover vyama vyote kuliko hizo ta tbc-ccm
Wasalaam wajumbe wa jukwaa hili!
Naomba kudeclear kabisa kua mimi ni Mwanaccm toka 1997, nachozingumzwa hapa naomba nisipelekwe ufipani.
Ninachoshangaa na wanaccm wenzangu kujawa hopes kua tunaweza kushinda uchaguzi huu kwa urahisi hivyo, naomba ni waambieni kwa ushahidi huu kua Lissu ni kisiki kizito mara 10 ya Dr Slaa wa 2010 au LOWASSA wa 2015.
KWANINI LISSU ANAWEZA KUSHINDA?
Nikikumbuka na ya kuyafikiria haya ninashauri kabisa CCM tusibweteke na kujisahau.
1.Mwaka 2010 Tundu Lissu aliwahi kushinda ubunge katikati ya ngome ya CCM mkoa wa Singida na kujinyakulia Jimbo la Singida mashariki huku akiwa na madiwani 3 tu kati ya 17. Awamu iliyofuata 2015 alishinda tena na kuchukua kata 16 za madiwani akipoteza 1 tu.
2. Kuna wabunge wa CHADEMA wenye kauli kali sana za kujiamini na zisizoogopa mtu kama vile Mbowe, John Mnyika, John Heche,Godbless Lema na Halima Mdee, tujiulize kama kweli watanzania hawapendi kauli kali kwanini wabunge hawa mpaka leo hawajawahi kushindwa kwenye majimbo yao?
Kama watanzania wanapenda kauli za ukali basi Lisu anaweza kutoboa na lazima tufahamu kua ukali wa Lissu na Dr Mafufuli ni tofauti kidogo, Lissu anazidi kidogo ukali na Ukali wake ni unaambatana na sequences zenye facts za kisheria na hivi ni mtaalam wa sheria.
3. Kwanini hatuelewi kuwa Lissu ni mwanasheria mbozi, huu ushindi wa mezani wa kupita bila kupingwa tunajua atawashauri na kuwasomesha nini wagombea wa ubunge na udiwani?
Badala ya sisi kuweka mapingamizi basi tutakuta wao wametujazia mapingamizi.
Mkitaka kulijua hili muulizeni kuja jamaa moja anaitwa Wilson Nkhambaku mwaka 2010 alipohama CCM na kujiunga CHADEMA jimbo la Singida Magharibi baada ya kuonewa kwenye kura za maoni ccm, tulikimbilia kumwekea pingamizi lakini alichokifanya Lissu tunakijua mpaka huyo jamaa kupewa nafasi ya kugombea?
4.Niwaambieni kua Tundu Lissu ni zaidi ya jeuri kwenye mikakati ya uchaguzi, huyu ndiye aliyewashauri CHADEMA wenzake kua muda umeenda waachane na kulia na tume huru ya uchaguzi, aliwaambia "Tutashinda kwa tume hii hii pamoja na mapungufu yake".
Je, kuna nini hapo?
5.Jimbo la Singida Mashariki ni moja ya majimbo mengi Tanzania ambalo madiwani wake wote ni CHADEMA, Pamoja na jimbo kuchukuliwa Lissu akiwa ICU na kupewa Jamaa yetu moja wa CCM aitwaye Miraji Mtaturu lakini hakuna diwani hata mmoja aliyeunga mkono juhudi, tunajua Lissu aliwaambia nini?
Tukubali tuukatae ni lazima tuelewe kua uchaguzi huu wa mwaka huu siyo wa kawaida.
Lisu anamjua nani bhana!
Hata wakati wa hao uliowataja mlikuwa mnasema hawana ishu tena mkasema kina Nape wapo upande wa Lowasa!Kilikuwa na huo uzoefu walipokuwepo watu ambao ni vichwa kama akina kinana, Nape na Januari lakini hii timu ya sasa hakuna jipya siasa za mazoea zimepitwa na wakati.
😂😂😂😂Sioni namna Magufuli atamshinda Lissu mwaka huu
Mahanhu nakufahamu vyema kabisa kuwa wewe ni CCM kindakindaki, nashukuru kwa kukuona hili. Lissu ni habari nyingine kabisaWasalaam wajumbe wa jukwaa hili!
Naomba kudeclear kabisa kua mimi ni Mwanaccm toka 1997, nachozingumzwa hapa naomba nisipelekwe ufipani.
Ninachoshangaa na wanaccm wenzangu kujawa hopes kua tunaweza kushinda uchaguzi huu kwa urahisi hivyo, naomba ni waambieni kwa ushahidi huu kua Lissu ni kisiki kizito mara 10 ya Dr Slaa wa 2010 au LOWASSA wa 2015.
KWANINI LISSU ANAWEZA KUSHINDA?
Nikikumbuka na ya kuyafikiria haya ninashauri kabisa CCM tusibweteke na kujisahau.
1.Mwaka 2010 Tundu Lissu aliwahi kushinda ubunge katikati ya ngome ya CCM mkoa wa Singida na kujinyakulia Jimbo la Singida mashariki huku akiwa na madiwani 3 tu kati ya 17. Awamu iliyofuata 2015 alishinda tena na kuchukua kata 16 za madiwani akipoteza 1 tu.
2. Kuna wabunge wa CHADEMA wenye kauli kali sana za kujiamini na zisizoogopa mtu kama vile Mbowe, John Mnyika, John Heche,Godbless Lema na Halima Mdee, tujiulize kama kweli watanzania hawapendi kauli kali kwanini wabunge hawa mpaka leo hawajawahi kushindwa kwenye majimbo yao?
Kama watanzania wanapenda kauli za ukali basi Lisu anaweza kutoboa na lazima tufahamu kua ukali wa Lissu na Dr Mafufuli ni tofauti kidogo, Lissu anazidi kidogo ukali na Ukali wake ni unaambatana na sequences zenye facts za kisheria na hivi ni mtaalam wa sheria.
3. Kwanini hatuelewi kuwa Lissu ni mwanasheria mbozi, huu ushindi wa mezani wa kupita bila kupingwa tunajua atawashauri na kuwasomesha nini wagombea wa ubunge na udiwani?
Badala ya sisi kuweka mapingamizi basi tutakuta wao wametujazia mapingamizi.
Mkitaka kulijua hili muulizeni kuja jamaa moja anaitwa Wilson Nkhambaku mwaka 2010 alipohama CCM na kujiunga CHADEMA jimbo la Singida Magharibi baada ya kuonewa kwenye kura za maoni ccm, tulikimbilia kumwekea pingamizi lakini alichokifanya Lissu tunakijua mpaka huyo jamaa kupewa nafasi ya kugombea?
4.Niwaambieni kua Tundu Lissu ni zaidi ya jeuri kwenye mikakati ya uchaguzi, huyu ndiye aliyewashauri CHADEMA wenzake kua muda umeenda waachane na kulia na tume huru ya uchaguzi, aliwaambia "Tutashinda kwa tume hii hii pamoja na mapungufu yake".
Je, kuna nini hapo?
5.Jimbo la Singida Mashariki ni moja ya majimbo mengi Tanzania ambalo madiwani wake wote ni CHADEMA, Pamoja na jimbo kuchukuliwa Lissu akiwa ICU na kupewa Jamaa yetu moja wa CCM aitwaye Miraji Mtaturu lakini hakuna diwani hata mmoja aliyeunga mkono juhudi, tunajua Lissu aliwaambia nini?
Tukubali tuukatae ni lazima tuelewe kua uchaguzi huu wa mwaka huu siyo wa kawaida.
Wasalaam wajumbe wa jukwaa hili!
Naomba kudeclear kabisa kua mimi ni Mwanaccm toka 1997, nachozingumzwa hapa naomba nisipelekwe ufipani.
Ninachoshangaa na wanaccm wenzangu kujawa hopes kua tunaweza kushinda uchaguzi huu kwa urahisi hivyo, naomba ni waambieni kwa ushahidi huu kua Lissu ni kisiki kizito mara 10 ya Dr Slaa wa 2010 au LOWASSA wa 2015.
KWANINI LISSU ANAWEZA KUSHINDA?
Nikikumbuka na ya kuyafikiria haya ninashauri kabisa CCM tusibweteke na kujisahau.
1.Mwaka 2010 Tundu Lissu aliwahi kushinda ubunge katikati ya ngome ya CCM mkoa wa Singida na kujinyakulia Jimbo la Singida mashariki huku akiwa na madiwani 3 tu kati ya 17. Awamu iliyofuata 2015 alishinda tena na kuchukua kata 16 za madiwani akipoteza 1 tu.
2. Kuna wabunge wa CHADEMA wenye kauli kali sana za kujiamini na zisizoogopa mtu kama vile Mbowe, John Mnyika, John Heche,Godbless Lema na Halima Mdee, tujiulize kama kweli watanzania hawapendi kauli kali kwanini wabunge hawa mpaka leo hawajawahi kushindwa kwenye majimbo yao?
Kama watanzania wanapenda kauli za ukali basi Lisu anaweza kutoboa na lazima tufahamu kua ukali wa Lissu na Dr Mafufuli ni tofauti kidogo, Lissu anazidi kidogo ukali na Ukali wake ni unaambatana na sequences zenye facts za kisheria na hivi ni mtaalam wa sheria.
3. Kwanini hatuelewi kuwa Lissu ni mwanasheria mbozi, huu ushindi wa mezani wa kupita bila kupingwa tunajua atawashauri na kuwasomesha nini wagombea wa ubunge na udiwani?
Badala ya sisi kuweka mapingamizi basi tutakuta wao wametujazia mapingamizi.
Mkitaka kulijua hili muulizeni kuja jamaa moja anaitwa Wilson Nkhambaku mwaka 2010 alipohama CCM na kujiunga CHADEMA jimbo la Singida Magharibi baada ya kuonewa kwenye kura za maoni ccm, tulikimbilia kumwekea pingamizi lakini alichokifanya Lissu tunakijua mpaka huyo jamaa kupewa nafasi ya kugombea?
4.Niwaambieni kua Tundu Lissu ni zaidi ya jeuri kwenye mikakati ya uchaguzi, huyu ndiye aliyewashauri CHADEMA wenzake kua muda umeenda waachane na kulia na tume huru ya uchaguzi, aliwaambia "Tutashinda kwa tume hii hii pamoja na mapungufu yake".
Je, kuna nini hapo?
5.Jimbo la Singida Mashariki ni moja ya majimbo mengi Tanzania ambalo madiwani wake wote ni CHADEMA, Pamoja na jimbo kuchukuliwa Lissu akiwa ICU na kupewa Jamaa yetu moja wa CCM aitwaye Miraji Mtaturu lakini hakuna diwani hata mmoja aliyeunga mkono juhudi, tunajua Lissu aliwaambia nini?
Tukubali tuukatae ni lazima tuelewe kua uchaguzi huu wa mwaka huu siyo wa kawaida.
We n CCM au chichi m?Wasalaam wajumbe wa jukwaa hili!

Umetoa facts tupu kwa asilimia 100
Waache hao CCM wajipe matumaini makubwa, wakati katika hali halisi nafsini mwao wanajua wazi kuwa wataangukia pua!
mkuu umepiga spana sio za nchi hii watu kama nyie ndo mlitaliwa kuwa washauri wa ccm maana unapojua kuwa una hali ngumu ndo unakua mwanzo mzuri wa kujipanga kumkabili adui wako kitu ambacho wanaccm wengi wameshindwa kullikubali matokeo yake wanaendelea ku relax mkuu ,uchaguzi huu ni mgum kwelikweli na utakua mtam kweli kweli ccm wasipokua makin saa tatu hasubui watakua wamegalagazwa maana naona hata amasa ya watu kupiga kura ndani ya mda mfupi inazidi kuongezeka mwaafaWasalaam wajumbe wa jukwaa hili!
Naomba kudeclear kabisa kua mimi ni Mwanaccm toka 1997, nachozingumzwa hapa naomba nisipelekwe ufipani.
Ninachoshangaa na wanaccm wenzangu kujawa hopes kua tunaweza kushinda uchaguzi huu kwa urahisi hivyo, naomba ni waambieni kwa ushahidi huu kua Lissu ni kisiki kizito mara 10 ya Dr Slaa wa 2010 au LOWASSA wa 2015.
KWANINI LISSU ANAWEZA KUSHINDA?
Nikikumbuka na ya kuyafikiria haya ninashauri kabisa CCM tusibweteke na kujisahau.
1.Mwaka 2010 Tundu Lissu aliwahi kushinda ubunge katikati ya ngome ya CCM mkoa wa Singida na kujinyakulia Jimbo la Singida mashariki huku akiwa na madiwani 3 tu kati ya 17. Awamu iliyofuata 2015 alishinda tena na kuchukua kata 16 za madiwani akipoteza 1 tu.
2. Kuna wabunge wa CHADEMA wenye kauli kali sana za kujiamini na zisizoogopa mtu kama vile Mbowe, John Mnyika, John Heche,Godbless Lema na Halima Mdee, tujiulize kama kweli watanzania hawapendi kauli kali kwanini wabunge hawa mpaka leo hawajawahi kushindwa kwenye majimbo yao?
Kama watanzania wanapenda kauli za ukali basi Lisu anaweza kutoboa na lazima tufahamu kua ukali wa Lissu na Dr Mafufuli ni tofauti kidogo, Lissu anazidi kidogo ukali na Ukali wake ni unaambatana na sequences zenye facts za kisheria na hivi ni mtaalam wa sheria.
3. Kwanini hatuelewi kuwa Lissu ni mwanasheria mbozi, huu ushindi wa mezani wa kupita bila kupingwa tunajua atawashauri na kuwasomesha nini wagombea wa ubunge na udiwani?
Badala ya sisi kuweka mapingamizi basi tutakuta wao wametujazia mapingamizi.
Mkitaka kulijua hili muulizeni kuja jamaa moja anaitwa Wilson Nkhambaku mwaka 2010 alipohama CCM na kujiunga CHADEMA jimbo la Singida Magharibi baada ya kuonewa kwenye kura za maoni ccm, tulikimbilia kumwekea pingamizi lakini alichokifanya Lissu tunakijua mpaka huyo jamaa kupewa nafasi ya kugombea?
4.Niwaambieni kua Tundu Lissu ni zaidi ya jeuri kwenye mikakati ya uchaguzi, huyu ndiye aliyewashauri CHADEMA wenzake kua muda umeenda waachane na kulia na tume huru ya uchaguzi, aliwaambia "Tutashinda kwa tume hii hii pamoja na mapungufu yake".
Je, kuna nini hapo?
5.Jimbo la Singida Mashariki ni moja ya majimbo mengi Tanzania ambalo madiwani wake wote ni CHADEMA, Pamoja na jimbo kuchukuliwa Lissu akiwa ICU na kupewa Jamaa yetu moja wa CCM aitwaye Miraji Mtaturu lakini hakuna diwani hata mmoja aliyeunga mkono juhudi, tunajua Lissu aliwaambia nini?
Tukubali tuukatae ni lazima tuelewe kua uchaguzi huu wa mwaka huu siyo wa kawaida.
Kwanza wewe ni mnyarwanda
baaada ya uchaguzi ndo utajua kama ni mrwanda
tukisema wananchi hatuwataki tunamaanisha
Wewe ni mnyarwanda tu