Ipo sababu ya Hamas kumuua Joshua kikatili?

SACO

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
2,623
Reaction score
3,397
Nimelia sana hadi machozi yameisha. Nimekuja kuamini kuwa Hamas ni magaidi na wanapaswa kuangamizwa, nimejitahidi kuulizia kama kuna connection kwenda kusaidia kuwaangamiza Hamas lakini nimekosa.
Naomba serikali itoe tamko kama Hamas ni magaidi au la! Maana naona nchi imetulia kama hamna kilichotokea
 
Ina maana siku zote hujui kama Hamas ni kundi la kigaidi?
 
Nimelia sana hadi machozi yameisha. Nimekuja kuamini kuwa Hamas ni magaidi na wanapaswa kuangamizwa, nimejitahidi kuulizia kama kuna connection kwenda kusaidia kuwaangamiza Hamas lakini nimekosa.
Naomba serikali itoe tamko kama Hamas ni magaidi au la! Maana naona nchi imetulia kama hamna kilichotokea
Endelea kulia hapohapo Kwa shemeji Yako!

Wakati Ben saa8, Azory Akwlina, Alphonse, Lwajabe , Kanguye nk wanapotea ulilia mara ngapi,unamuonea huruma aliyefia uwanja wa vita wakati aliyefia uwanja wa amani hujamuonea huruma!

Acha unafiki mbumbumbu wewe!
 
1. Mkuu HAMAS walimfuata Joshua nje ya maeneo wanayopigania kuyakomboa?

2. Una uhakika gani kuwa Joshua kafa au kauliwa?

3. Una uhakika gani kama kafa kauliwa na HAMAS

4. Kulikoni tusijikite kumwombea ndugu yetu kurudi salama?

5. Kulikoni tusilaani mauaji na dhuluma kwa wasio na hatia wote huko mashariki ya kati?
 
Nimelia sana hadi machozi yameisha. Nimekuja kuamini kuwa Hamas ni magaidi na wanapaswa kuangamizwa, nimejitahidi kuulizia kama kuna connection kwenda kusaidia kuwaangamiza Hamas lakini nimekosa.
Naomba serikali itoe tamko kama Hamas ni magaidi au la! Maana naona nchi imetulia kama hamna kilichotokea
Uo ubavu wa kuitangaza Hamas ni magaidi hamna ata ungekuwa wewe ndiyo Rais usingeweza! We pinga kanisa lako kubariki wanaume wanaopigana miti
 
Endelea kulia hapohapo Kwa shemeji Yako!

Wakati Ben saa8, Azory Akwlina, Alphonse, Lwajabe , Kanguye nk wanapotea ulilia mara ngapi,unamuonea huruma aliyefia uwanja wa vita wakati aliyefia uwanja wa amani hujamuonea huruma!

Acha unafiki mbumbumbu wewe!
Mwamba una hoja nzito.
 
Nimelia sana hadi machozi yameisha. Nimekuja kuamini kuwa Hamas ni magaidi na wanapaswa kuangamizwa, nimejitahidi kuulizia kama kuna connection kwenda kusaidia kuwaangamiza Hamas lakini nimekosa.
Naomba serikali itoe tamko kama Hamas ni magaidi au la! Maana naona nchi imetulia kama hamna kilichotokea
labda tuwaulize Ubalozi wa Palestina hapa nchini, ubalozi ambao hauna faida yeyote kwetu ila wao wapo hapa ili sisi tuwe tunawaunga mkono na ili wawe wanawasaidia wapalestina magaidi wanaozunguka duniani wakiwa Tanzania. yaani wapo hapa kwa ajili ya connecitons zao tu ila hakuna tunachofaidika nao kwasababu hawana nchi na hawatakuja kuwa na nchi. wamemuua yule kijana kikatili sana. imagine dogo maskini kaenda kwa kutumwa na serikali ya Samia, amefika pale yakamkuta yale, mtanzania yanamkuta yale, imagine alivyokuwa helpless, alivyohangaika kujieleza, wakamuua kikatili.

though na wao wameshauawa tayari kwa taarifa zilizotoka Israel.
 
Endelea kulia hapohapo Kwa shemeji Yako!

Wakati Ben saa8, Azory Akwlina, Alphonse, Lwajabe , Kanguye nk wanapotea ulilia mara ngapi,unamuonea huruma aliyefia uwanja wa vita wakati aliyefia uwanja wa amani hujamuonea huruma!

Acha unafiki mbumbumbu wewe!
Tuliza komwe wewe.
Kwanini kila kitu mnataka kifanyike kwa ulinganifu? Kwani akina Azory na Ben saa nane ndicho kipimo halisi cha kitaifa cha kutaka tukihuzunika tusikivuke?
 
Back
Top Bottom