Ipo siku CHADEMA itamkumbuka Mbowe but itakuwa very late

Wenzako wanataka pachangamke wewe unataka paendelee kupoa
 
na hizi ndo akili za wapambe wa lissu, mko vizuri kuongea ujinga
Kama wewe ndo Campaign Manager wa Mbowe basi mnazidi kudhihirisha kuwa Mbowe ni zero brain. Mtu makini hawezi kuchagua takataka zimtetee!
 
Btw, tunakujua wewe ni mtu wa viwanja, huhitaji kujitangaza!
Mimi kila wiki niko Kigali Kampala Goma Juba Beni Bunya nk.
Mimi ni MUWAZI kama LISSU nifichefiche nini BARAKA nilizopewa na Mungu.

Mbona wewe kwa Magufuli huwa unamuongelea kwa bashasha Magufuli hata pale tulipokuwa tukisema Dishi la Mr. President limeyumba.
 
wanasiasa wote ni waongo duniani hata huko ccm ndo balaa ila safari hii kwa chadema ni yeye mbowe abaki kama mzee wa heshima
 
Nmeongelea kwa taarifa ndogo nlizonazo, kuhusu mbowe sina taarifa zake sana za karibu ila if thats the case mnachaguaje mt muongo?
basi we hufai kuwa mwandishi, tafuta stori na upande wa pili ilitupate uwiano mzuri wa taarifa zao
 
kwanini ambao hampo chadema ndo wengi wenu mnamkubari mbowe?.. kuna agenda gani kati yenu
 
mambo ya janja janja ndo mwisho wake tunaenda kua na chadema iliyosimama.. ambayo haitakubari kurubuniwa kijinga
 
Chawa mfwata mkumbo leta ushahidi sio mipasho.Uku sio facebook.
 
Kusafiri kuna shida? Mbona Mbowe mwenyewe huenda kupumzika Dubai mara kwa mara?
Ujuaji mwingine ni ujinga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…