Ipo siku CHADEMA watamkumbuka Rais Samia na kuelewa dhamira yake ya kuwatumikia Watanzania kwa uzalendo na upendo

Kitu kwa kiasi.
Unaposifia, ukizidisha sana, unatengeneza KERO badala ya USHAWISHI.
Na isitoshe ningekushauri usubiri mwaka 2025, kama una nia njema na mama, sasahivi ni rahisi watu kusahau.
 
unalamba asali ukiwa maeneo gani mkuu?
 
Hakuna chama kilicho na ushawishi hapa Tanzania zaidi ya CCM
 
Mbona chadema hawana tatizo na mama Samia?. Wapo kimya hawalalamiki
 
Ipo siku utatambua kwamba kumtumikia mtu na sio nchi au manufaa ya nchi ni Uchizi...
 
Hakunaga katiba bora na nzuri inayovunjwa. Katiba bora huwa Ina wivu Sana n a hivyo hujilinda Sana. Kila anayeigusa kuadhibiwa vikali na katiba bora. Trust me, it is just a matter of time things will change.
 
Wewe uwe unaandika kiJana mpenda CCM na ACT kutwa kucha kuandikaga Chadema ukiandika ya T L P huwezi pata wachangiji Nini? Wewe kikongwe
 
ccm na wafuas wao ni mazombi
 
Bila shaka watu km nyie ndo mnaunda lile kundi la Watanzania vichaa. Nadhani kaungane na Ndugai.
 
Wacha wee!
 
Chadema iliisha kufa bado hitima serekali ikumbuke madhila waliofanyiwa wavuvi wakumbukwe kazikwisha hawawezi kuaminika tenakupitia swala wabunge wao hapo tu kwisha habari yao
 
Chadema ilikuwa ile ya kina Dr Slaa sio hawa wahuni na wavuta bangi. Mwendazake alikuwa sahihi kabisa asilimia 100 kuwadhibiti hawa wahuni.
2025 mwendo ule ule wa Mwendazake
 
Chadema ilikuwa ile ya kina Dr Slaa sio hawa wahuni na wavuta bangi. Mwendazake alikuwa sahihi kabisa asilimia 100 kuwadhibiti hawa wahuni.
2025 mwendo ule ule wa Mwendazake
chadema ya Sasa hata haielewi inakoelekea
 
😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…