Ipo siku Lissu atadondoka na kuumia vibaya sana kwenye Meza anazoandaliwa na CHADEMA atumie kama "Jukwaa"

Hata sijasoma lakini ndugu Mwashambwa, siasa zisikufanye ujenge na chuki na binadamu mwenzako.
 
nadhani kwa uzoefu na mazoea yake ya kuomba achangiwe vitu mbalimbali, mara kwa mara,

kuna haja aombe achangiwe jukwaa la kutumia kwenye mikutano yake, ambalo atakua anatembea nalo kila aendapo mikutanoni. hii itasaidia kidogo πŸ’
CHADEMA ni watu wa ajabu ajabu sana.hawapo siriasi kwa lolote lile.
 
Akili yako ni ya ajabu sana.yaani hujasoma halafu umekimbilia kutoa maoni? Huu ni ugonjwa unaohitaji matibabu ya haraka sana na kwa dharura
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Acha hizo mbona Kikwete mwaka 2010 alianguka pale Jangwani kwenye Jukwaa la Chuma na hata hakuwa Chiba kama Lissu?
Una mijadala ya kitoto sana aisee. Alafu usipende kutweza utu au muonekano wa mtu. Hujafa hujaumbika
 
nadhani kwa uzoefu na mazoea yake ya kuomba achangiwe vitu mbalimbali, mara kwa mara,

kuna haja aombe achangiwe jukwaa la kutumia kwenye mikutano yake, ambalo atakua anatembea nalo kila aendapo mikutanoni. hii itasaidia kidogo πŸ’
Ht hvy kila kwenye mikutano yao hasa ya uchaguzi ni lazima waombe michango kwa ajili ya kampeni inayofuata sehemu nyingine
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Acha hizo mbona Kikwete mwaka 2010 alianguka pale Jangwani kwenye Jukwaa la Chuma na hata hakuwa Chiba kama Lissu?
Una mijadala ya kitoto sana aisee. Alafu usipende kutweza utu au muonekano wa mtu. Hujafa hujaumbika
Yeye mwenyewe hapo ana vigimbi na matege utafikiri mtego wa kukamatia nguruwe pori
 
Wananiheshimu wenye akili timamu. Sasa jifanye jeuri unitolee lugha ya matusi uone. Unajiona wewe ni mtu maalum sana hapa jukwaani wakati ni chawa tu unayebangaiza upate kuteuliwa
Ili apate uteuzi awe anaiponda CCM, Kwa mtindo wake huu hatapata ng'o πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…