CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Mimi nilishasema wewe huna akili kabisaNilishasema wewe una matatizo makubwa sana kichwani mwako
Lucas Mwashambwa acha kuchungulia madirishani nyumba za jirani zako, utajipunguzia heshima ya ndoa.Ndugu zangu Watanzania,
Nimeona niseme haya mapema sana ili yakitokea ya kutokea CHADEMA wasije kuanza kusema wamehujumiwa na serikali au CCM. Kwa sababu mtu mvivu wa kutumia akili akipata tatizo huwa anakimbilia kutafuta majibu mepesi na rahisi, kama ambavyo amewahi kusema Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere katika kitabu chake cha "Tujisahihishe" cha mwaka 1962.
Ni aibu na fedheha kubwa sana kwa CHADEMA kushindwa kumuandalia Makamu Mwenyekiti wake jukwaa zuri, la kueleweka na lenye usalama wa kutosha. Yaani Makamu Mwenyekiti anapewa meza ya kupangia nyanya na vitunguu sokoni tena iliyochakaa, kuchoka, kupauka na mbaya sana ili itumike kama jukwaa? Yaani CHADEMA inashindwa kuchangishana pesa kununua mbao ili kutengeneza jukwaa zuri, la kueleweka na lenye usalama?
Chama bora, makini, imara na chenye weledi kama CCM huwa kina mpangilio mzuri sana wa mambo yake ambayo yanakuwa yanaakisi afya njema ya akili ya wanachama pamoja na viongozi wake. Ukiiona chama kinashindwa hata kuandaa tu jukwaa la kiongozi wake mkubwa kama Makamu, basi ujue ndio akili za viongozi wake zilipogota na kufikia. Mpangilio wa vitu huanzia akilini, kichwani na kuja katika matendo. Haya ya kumpatia Lissu meza na kupangiwa matofali chini kwa hakika ni aibu ya karne, ni maajabu yanayostahili kuingia katika maajabu ya Nchi na Bara la Afrika.
CHADEMA haijawahi kuwa siriasi, ni chama kipo kipo tu, kinajiendea endea tu kama kipofu gizani. Kinajisukuma sukuma tu kama mtu aliyezidiwa na pombe kichwani. Hakina mipango wala mikakati, wala maono wala malengo hata ya urefu wa pua zao. Hakiwezi hata kupanga nini kitafanya kesho. Ndiyo maana hakiwezi hata kuweka mipango na maandalizi juu ya jukwaa atakalotumia kiongozi wake kuzungumza na watu.
CHADEMA walivyo wavivu wa kufikiri na kutumia akili vyema, ikitokea Lissu akaanguka na kuumia vibaya mwili wake, utaona kwa ufinyu wa akili wanaanza kuitupia lawama serikali yetu na chama chetu cha Mapinduzi CCM kuwa ndio imesababisha. Watasema Lissu na CHADEMA wamehujumiwa. Halafu haraka sana kama kawaida yao wataanza kutoa namba za kuomba michango ya kumtibu hospitali na gharama zingine. Maana hiyo ndio kazi ambayo CHADEMA inaweza kuifanya kwa ufanisi mzuri sana, kutokana na kupenda sana pesa za bila jasho.
Kazi iendelee, Mama ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya Watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Nimewapeni tahadhali mapema sana. Maana nafahamu uwezo wenu wa akili ulipogotea.Lucas Mwashambwa acha kuchungulia madirishani nyumba za jirani zako, utajipunguzia heshima ya ndoa.
Wa kutochungulia kwenye madirisha ya jirani! Mtu mwenyebusara hatumii muda wake wote kumsema jirani yake bali hutumia mapungufu ya jirani yake kimyakimya kujiendeleza.Nimewapeni tahadhali mapema sana. Maana nafahamu uwezo wenu wa akili ulipogotea.
Ungeenda ofisi ya CDM makao makuu kwa maandamano kukabidhi taarifa ya onyo/kuonea huruma.Nimewapeni tahadhali ili msije anza kuomba michango
Hakuna hoja anayotoa Lissu inayohitaji majibu kutoka serikalini .zaidi CHADEMA ndio mnatakiwa mjibu tuhuma anazokituhumu chama kutumia rushwa katika uchaguziUngeenda ofisi ya CDM makao makuu kwa maandamano kukabidhi taarifa ya onyo/kuonea huruma.
NB;Muda huo wa huruma ungeutumia kukuna kisogo na pua huku unatafuta majibu ya hoja na maswali yake yanaoyojitokeza aongeapo.Mambo ya majukwaa achia seremala.Anaweza kuhutubia akiwa hadi amelala ili mradi asikike na ujumbe tarajiwa uwafikie walengwa.
Umejibu vitu visivyoendana kabisaa.Hebu nikuulize swali,usalama wa jukwaa na yule RC anaesema watu wametumwa kummaliza wamepewa milioni 6 kipi kina tija?
Kumbuka huyu bwana alikataa jukwaa zuri akakimbilia kuhutubia juu ya gari akiwa mwenezi.
Unazima mtoto kwa jirani kwako kunaungua
Sasa kama hata uwezo wa kung'amua hoja au maswali hauna,nitakusaidiaje?Hayo ya wanaCHADEMA na tuhuma zao,watajibu wao.Mimi siyo mCHADEMA.Hakuna hoja anayotoa Lissu inayohitaji majibu kutoka serikalini .zaidi CHADEMA ndio mnatakiwa mjibu tuhuma anazokituhumu chama kutumia rushwa katika uchaguzi
Swala si usalama pimbi wewe,Kama jukwaa Makonda alikimbia jukwaa mkilimuandalia mbeya ni uongo?Umejibu vitu visivyoendana kabisaa.
Kamshindwa Lissu mwenyewe,kahamia kwenye miundo ya vijukwaa.Mara ijayo atahamia kwenye miwani na aina yake ya unyoaji wa nywele.Swala si usalama pimbi wewe,Kama jukwaa Makonda alikimbia jukwaa mkilimuandalia mbeya ni uongo?
Ikitokea utakuwepo mkono wa chawa mmoja maarufu kama muuza hili wazo lenye mashaka🫠Ndugu zangu Watanzania,
Nimeona niseme haya mapema sana ili yakitokea ya kutokea CHADEMA wasije kuanza kusema wamehujumiwa na serikali au CCM. Kwa sababu mtu mvivu wa kutumia akili akipata tatizo huwa anakimbilia kutafuta majibu mepesi na rahisi, kama ambavyo amewahi kusema Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere katika kitabu chake cha "Tujisahihishe" cha mwaka 1962.
Ni aibu na fedheha kubwa sana kwa CHADEMA kushindwa kumuandalia Makamu Mwenyekiti wake jukwaa zuri, la kueleweka na lenye usalama wa kutosha. Yaani Makamu Mwenyekiti anapewa meza ya kupangia nyanya na vitunguu sokoni tena iliyochakaa, kuchoka, kupauka na mbaya sana ili itumike kama jukwaa? Yaani CHADEMA inashindwa kuchangishana pesa kununua mbao ili kutengeneza jukwaa zuri, la kueleweka na lenye usalama?
Chama bora, makini, imara na chenye weledi kama CCM huwa kina mpangilio mzuri sana wa mambo yake ambayo yanakuwa yanaakisi afya njema ya akili ya wanachama pamoja na viongozi wake. Ukiiona chama kinashindwa hata kuandaa tu jukwaa la kiongozi wake mkubwa kama Makamu, basi ujue ndio akili za viongozi wake zilipogota na kufikia. Mpangilio wa vitu huanzia akilini, kichwani na kuja katika matendo. Haya ya kumpatia Lissu meza na kupangiwa matofali chini kwa hakika ni aibu ya karne, ni maajabu yanayostahili kuingia katika maajabu ya Nchi na Bara la Afrika.
CHADEMA haijawahi kuwa siriasi, ni chama kipo kipo tu, kinajiendea endea tu kama kipofu gizani. Kinajisukuma sukuma tu kama mtu aliyezidiwa na pombe kichwani. Hakina mipango wala mikakati, wala maono wala malengo hata ya urefu wa pua zao. Hakiwezi hata kupanga nini kitafanya kesho. Ndiyo maana hakiwezi hata kuweka mipango na maandalizi juu ya jukwaa atakalotumia kiongozi wake kuzungumza na watu.
CHADEMA walivyo wavivu wa kufikiri na kutumia akili vyema, ikitokea Lissu akaanguka na kuumia vibaya mwili wake, utaona kwa ufinyu wa akili wanaanza kuitupia lawama serikali yetu na chama chetu cha Mapinduzi CCM kuwa ndio imesababisha. Watasema Lissu na CHADEMA wamehujumiwa. Halafu haraka sana kama kawaida yao wataanza kutoa namba za kuomba michango ya kumtibu hospitali na gharama zingine. Maana hiyo ndio kazi ambayo CHADEMA inaweza kuifanya kwa ufanisi mzuri sana, kutokana na kupenda sana pesa za bila jasho.
Kazi iendelee, Mama ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya Watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Chadema kilisha kufa 2015 hiki kinachoendelea ni process tu za kuzika chama chaoNdugu zangu Watanzania,

Acha ulozi wewe!Ndugu zangu Watanzania,

Yuko Jehannam ametundikwa kichwa chini miguu juu anaokwa kama ndafu.Yule chizi alisema atakiua, Yuko wapi Sasa?
Endeleeni kuleta mzaha ila siku yakitokea msije anza kusema mmehujumiwa .maana ninyi nafahamu namna alivyo wavivu wa kutumia akili.Kamshindwa Lissu mwenyewe,kahamia kwenye miundo ya vijukwaa.Mara ijayo atahamia kwenye miwani na aina yake ya unyoaji wa nywele.
Manyanza kakuandikia uzi.Kajisomee.Ni kama kioo kwako.Endeleeni kuleta mzaha ila siku yakitokea msije anza kusema mmehujumiwa .maana ninyi nafahamu namna alivyo wavivu wa kutumia akili.