Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Wewe na huyu akili ni mojaEndelea kuonyesha ulivyo kiakili kama ID yako inavyosema
Wewe na huyu akili ni mojaEndelea kuonyesha ulivyo kiakili kama ID yako inavyosema
Ni nadra sana kuwa na watu wa aina yako wanaoona nje ya box, sitashangaa watu wakikubeza ila usemalo ni kweli, sawa kabisa na wale wanaouza bidhaa kandokando ya barabaraKulingana na idadi yao kuwa kubwa(mamia kwa mamia) na ufinyu wa barabara hiyo inawalazimu kutembea hadi ndani ya eneo la barabara hiyo yenye malori mengi ya mchanga na mizigo pamoja na mabasi ya Kusini, na kama tujuavyo barabara hiyo ni "highway" magari huwa yana kasi kubwa sana endapo siku gari ikaacha njia na kuwafuata huko pembeni kutakuwa na msiba mzito sana.
Inasikitisha sana ,watengeneza njia za miguu.Niende kwenye hoja yangu moja kwa moja!
Kumekuwa na ongezeko kubwa sana la viwanda katika wilaya ya Mkuranga hususani maeneo ya Kisemvule na Dundani.Kwa namna moja ama nyingine hii ni fursa kwa vijana kupata ajira.
Kutokana na ongezeko hili la viwanda,kumesababisha ongezeko kubwa la watu hada vijana wanaofanya kazi kwenye viwanda hivyo na kutokana na hali halisi ya kipato chao wengi wao nyakati za asubuhi na jioni wanapokwenda au kurudi viwandani humo wamekuwa wakitembea kwa miguu pembezoni mwa barabara hiyo kuu ya Kilwa.
Kulingana na idadi yao kuwa kubwa(mamia kwa mamia) na ufinyu wa barabara hiyo inawalazimu kutembea hadi ndani ya eneo la barabara hiyo yenye malori mengi ya mchanga na mizigo pamoja na mabasi ya Kusini, na kama tujuavyo barabara hiyo ni "highway" magari huwa yana kasi kubwa sana endapo siku gari ikaacha njia na kuwafuata huko pembeni kutakuwa na msiba mzito sana.
Rai yangu kwa vyombo husika vya maamuzi,angalieni hili mapema tusisubiri kunda time ya uchunguzi wala kutoa msaada wa majeneza na kugharamia mazishi,fanyeni linalowezekana kuokoa maisha ya hawa vijana wanaohangaika kujitafutia riziki.Waziri Ulega,Mbunge wa Mkuranga na Waziri wa ujenzi maeneo yale yana nafasi zenye nyasi pembeni mwa barabara,jaribuni hata kuyafyeka mpanue barabara kidogo kwa ajili ya wapita kwa miguu au angalieni namna mtakayoona inafaa.
KINGA NI BORA KULIKO TIBA.
Jamaa ameona mbali sana.Ni nadra sana kuwa na watu wa aina yako wanaoona nje ya box, sitashangaa watu wakikubeza ila usemalo ni kweli, sawa kabisa na wale wanaouza bidhaa kandokando ya barabara
Watakupa majibu kama ya kule ilipotokea ajali ya Majinja, shimo dogo barabarani halikuzibwa kwa miaka mingi ila kwa sekunde kadhaa liliua watu 40+Watakuja ,akija sasa Meneja wa Tanroads majibu yake yanafurahisha...utasikiaaa tunamshukuru sana .......
Mwisho wa siku wanataka Mama yetu ndio aliseme hilo waaanze kujitikisa.
Aisee kipindi hiyo nilipita kwenye lile shimo siku 2 kabla ya ile ajali.Watakupa majibu kama ya kule ilipotokea ajali ya Majinja, shimo dogo barabarani halikuzibwa kwa miaka mingi ila kwa sekunde kadhaa liliua watu 40+
Watakupa majibu kama ya kule ilipotokea ajali ya Majinja, shimo dogo barabarani halikuzibwa kwa miaka mingi ila kwa sekunde kadhaa liliua watu 40+
Depopulation strategyKwa kifupi barabara zetu zinatia shaka sana.
Kuna jinsi wamefumba macho hii barabara za Dodoma-Iringa,Tunduma-Igawa, Morogoro-Kibaha,Nzega-Tinde-Shinyanga-Mwanza.
Kwa upande wa Mbeya hata itokee ajali nakataa kusema mapenzi ya Mungu,ule ni mtego wa kifo upo muda wote pale.
Namshangaa jamaa, kila comment yake ina kasoro ila kakomaa tuID yako inataja hali yako kiakili..!! Endelea kuonyesha zaidi jinsi unavyofanana nayo.
Dah, ile ajali sitokaa nisahau. Ile sehemu nikipita huwa napaangalia sanaWatakupa majibu kama ya kule ilipotokea ajali ya Majinja, shimo dogo barabarani halikuzibwa kwa miaka mingi ila kwa sekunde kadhaa liliua watu 40+
Hii barabara ya Nzg-Tnd-Shy-Mza ni balaa tupu. Waangalie namna ya kuunda parking za malory badala ya kuyalaza pembeni ya barabara kulia na kushoto na kuacha sehemu ya kupitia tu. Juzi nimekuta kimeumana. Malory yamepiga pin njia imebaki moja. Kila mtu anataka apite kwanza. Hiyo foleni ilikuwa kama Dar. Sie wa gari ndogo tuliteseka. Maana ukileta ujuaji unaweza kusogezewa tela ukajikuta uvunguni tuAisee kipindi hiyo nilipita kwenye lile shimo siku 2 kabla ya ile ajali.
Jirani yangu alivunjika mguu mpaka leo yupo yupo tu.
Kwa kifupi barabara zetu zinatia shaka sana.
Kuna jinsi wamefumba macho hii barabara za Dodoma-Iringa,Tunduma-Igawa, Morogoro-Kibaha,Nzega-Tinde-Shinyanga-Mwanza.
Kwa upande wa Mbeya hata itokee ajali nakataa kusema mapenzi ya Mungu,ule ni mtego wa kifo upo muda wote pale.
Pole sana Mkuu...wanaona na hawana muda.Hii barabara ya Nzg-Tnd-Shy-Mza ni balaa tupu. Waangalie namna ya kuunda parking za malory badala ya kuyalaza pembeni ya barabara kulia na kushoto na kuacha sehemu ya kupitia tu. Juzi nimekuta kimeumana. Malory yamepiga pin njia imebaki moja. Kila mtu anataka apite kwanza. Hiyo foleni ilikuwa kama Dar. Sie wa gari ndogo tuliteseka. Maana ukileta ujuaji unaweza kusogezewa tela ukajikuta uvunguni tu
Pole sana Mkuu...wanaona na hawana muda.Hii barabara ya Nzg-Tnd-Shy-Mza ni balaa tupu. Waangalie namna ya kuunda parking za malory badala ya kuyalaza pembeni ya barabara kulia na kushoto na kuacha sehemu ya kupitia tu. Juzi nimekuta kimeumana. Malory yamepiga pin njia imebaki moja. Kila mtu anataka apite kwanza. Hiyo foleni ilikuwa kama Dar. Sie wa gari ndogo tuliteseka. Maana ukileta ujuaji unaweza kusogezewa tela ukajikuta uvunguni tu
Changamoto sana mkuuPole sana Mkuu...wanaona na hawana muda.
Hii Nchi mapato yapo mengi sana kupitia barabara.Sema tu akili za kumeza madesa madarasani zinatufanye tusione hivyo vitu.
Sehemu ya kufika kwa dk 40,unatumia masaa 6 mpaka saba.
Juzi kulitokea ajali Tanga ya zile Tunker,watu walikaa 8Hrs wanasubiri kupita..fikiria hiyo ni njia kuu ya Kaskazini na Nchi za Jirani kule.
Hela za kujenga barabara zipo ni vipao mbele tu hatuna kichwani.
Tumekaa kiroho mbaya mbaya...
Ukisafiri Bongo na Private Mkuu ni kuwa makini tu,hasa hizo barabara.Changamoto sana mkuu
Yaani unakuta sehemu ina maeneo mengi ya wazi wanaweza kujengabparking na kuchukua ushuru vizuri kabisa, ila wanaacha magari yalale barabarani. Huu ujinga ni wa Millennium
kiukweli na bila kupindisha maneno kuna uzembe hasa wa hawa TANROADS katika kuziba mashimo,kufyeka pembezoni mwa barabara nk. ila serikali kuu inafanya kila liwezekanalo kujenga angalau hizi barabara tunazozipigia kelele kila uchao, nchi ni kubwa,watu ni wengi,mahitaji makubwa,mapato ni madogo. madawa hosp.,mishahara na posho za watumishi,miradi ya maendeleo nk yote yanafanywa na serikali kuu,tushukuru kwa barabara hizi tulizonazo.Pole sana Mkuu...wanaona na hawana muda.
Hii Nchi mapato yapo mengi sana kupitia barabara.Sema tu akili za kumeza madesa madarasani zinatufanye tusione hivyo vitu.
Sehemu ya kufika kwa dk 40,unatumia masaa 6 mpaka saba.
Juzi kulitokea ajali Tanga ya zile Tunker,watu walikaa 8Hrs wanasubiri kupita..fikiria hiyo ni njia kuu ya Kaskazini na Nchi za Jirani kule.
Hela za kujenga barabara zipo ni vipao mbele tu hatuna kichwani.
Tumekaa kiroho mbaya mbaya...
Kuna vitu vinawezekana kabisaa kufanyika ni uhuni uhuni tu.kiukweli na bila kupindisha maneno kuna uzembe hasa wa hawa TANROADS katika kuziba mashimo,kufyeka pembezoni mwa barabara nk. ila serikali kuu inafanya kila liwezekanalo kujenga angalau hizi barabara tunazozipigia kelele kila uchao, nchi ni kubwa,watu ni wengi,mahitaji makubwa,mapato ni madogo. madawa hosp.,mishahara na posho za watumishi,miradi ya maendeleo nk yote yanafanywa na serikali kuu,tushukuru kwa barabara hizi tulizonazo.
mkuu achana na huyo mwehu..unapobishana na chizi utaonekana kuwa ww ndio chizi kumzid mpotezee usimquoteEndelea kuonyesha ulivyo kiakili kama ID yako inavyosema