Ipo siku Mkuranga tutapata msiba wa Taifa endapo hatua za haraka hazitachukuliwa.

Ipo siku Mkuranga tutapata msiba wa Taifa endapo hatua za haraka hazitachukuliwa.

Kuna vitu vinawezekana kabisaa kufanyika ni uhuni uhuni tu.

Cha ajabu Tanroads wako kila Mkoa..sijui wanafanya kazi gani hasa.
ajari nyingi zinasababishwa na uzembe wa tanroads ktk kuziba mashimo,kuweka vibao vya usalama barabarani,kufyeka majani pembeni mwa barabara nk. Ila kiukweli barabara zetu zipo katika hali nzuri na bora sana ukilinganisha na nchi nyingi AFRIKA. BURUNDI,RWANDA,CONGO,AFRICA YA KATI,NIGER,CHAD,hata kenya uganda,sudan, ethiopia barabara zao zinatia uchungu.

sema tu wabongo hatujikubali.
 
Msiba wa wengi, sherehe...serikali itagharamia mazishi na kutoa pole kwa wafiwa wote
 
Jamaa ameona mbali sana.
Watakuja ,akija sasa Meneja wa Tanroads majibu yake yanafurahisha...utasikiaaa tunamshukuru sana .......
Mwisho wa siku wanataka Mama yetu ndio aliseme hilo waaanze kujitikisa.
Wanaona na wanajua kinachotokea kwenye hiyo barabara.
Jana njia ya Chanika ,Daladala ilipeleka moto kwa Prado ya Afande,source kuu ni njia finyu na kila mtu anawahi..inasikitisha mno.
mkuu, ni lazma uchukue tahadhari kabla ya majanga. Haiwezekani unaona barabara ni finyu na ni highway unakomaa tu kupita humo tena kwa miguu,alafu pembezoni nje ya barabara kuna sehemu unaweza kupita,ni wakati sasa hata sisi raia tuchukue tahadhari. Ujenzi wa Barabara unahitaji muda na gharama kubwa,meneja wa TANROADS anaweza peleka pendekezo serikali kuu na ikachukua zaidi ya mwaka kuwekewa bajeti, na mpaka kukamilika barabara ni 0.5mwaka,je hapa katikati mtaendelea kuisha tu? tuzinduke.
 
ajari nyingi zinasababishwa na uzembe wa tanroads ktk kuziba mashimo,kuweka vibao vya usalama barabarani,kufyeka majani pembeni mwa barabara nk. Ila kiukweli barabara zetu zipo katika hali nzuri na bora sana ukilinganisha na nchi nyingi AFRIKA. BURUNDI,RWANDA,CONGO,AFRICA YA KATI,NIGER,CHAD,hata kenya uganda,sudan, ethiopia barabara zao zinatia uchungu.

sema tu wabongo hatujikubali.
Mkuu kwa tulipofikia kwa sasa Tanzania.
Tunahitaji uwekezaji pia wa Barabara hasa kwa hii njia.

1.Dsm-Mbeye-Songwe-Tunduma (4 Ways)
2.Dsm-Mwanza-Mara ( 4 ways)
3.Dsm-Tanga-Kilimanjaro-Arusha-Namanga(4 ways)

Kwa kuanzia...inawezekana huko kuna pesa nyingi..Nakubali Bongo kwa sasa mambo yanakuwa mazuri,
Mifano ipo..ukiangakia mfano huduma za afya zimebadilika sana na kuna uwekezaji mkubwa mno umefanyika.

Sasa tunahitaji mageuzi ya miundombinu yenye akili hasa..
Tuachane na hao wengine,waje waige kwetu kama wanavyokuja Muhimbili kwa sasa kujifunza.

Tukimbie na kasi yetu..
 
Back
Top Bottom