Ipo siku Mkuranga tutapata msiba wa Taifa endapo hatua za haraka hazitachukuliwa.

Ni nadra sana kuwa na watu wa aina yako wanaoona nje ya box, sitashangaa watu wakikubeza ila usemalo ni kweli, sawa kabisa na wale wanaouza bidhaa kandokando ya barabara
 
Inasikitisha sana ,watengeneza njia za miguu.
 
Ni nadra sana kuwa na watu wa aina yako wanaoona nje ya box, sitashangaa watu wakikubeza ila usemalo ni kweli, sawa kabisa na wale wanaouza bidhaa kandokando ya barabara
Jamaa ameona mbali sana.
Watakuja ,akija sasa Meneja wa Tanroads majibu yake yanafurahisha...utasikiaaa tunamshukuru sana .......
Mwisho wa siku wanataka Mama yetu ndio aliseme hilo waaanze kujitikisa.
Wanaona na wanajua kinachotokea kwenye hiyo barabara.
Jana njia ya Chanika ,Daladala ilipeleka moto kwa Prado ya Afande,source kuu ni njia finyu na kila mtu anawahi..inasikitisha mno.
 
Watakuja ,akija sasa Meneja wa Tanroads majibu yake yanafurahisha...utasikiaaa tunamshukuru sana .......
Mwisho wa siku wanataka Mama yetu ndio aliseme hilo waaanze kujitikisa.
Watakupa majibu kama ya kule ilipotokea ajali ya Majinja, shimo dogo barabarani halikuzibwa kwa miaka mingi ila kwa sekunde kadhaa liliua watu 40+
 
Watakupa majibu kama ya kule ilipotokea ajali ya Majinja, shimo dogo barabarani halikuzibwa kwa miaka mingi ila kwa sekunde kadhaa liliua watu 40+
Aisee kipindi hiyo nilipita kwenye lile shimo siku 2 kabla ya ile ajali.
Jirani yangu alivunjika mguu mpaka leo yupo yupo tu.

Kwa kifupi barabara zetu zinatia shaka sana.
Kuna jinsi wamefumba macho hii barabara za Dodoma-Iringa,Tunduma-Igawa, Morogoro-Kibaha,Nzega-Tinde-Shinyanga-Mwanza.
Kwa upande wa Mbeya hata itokee ajali nakataa kusema mapenzi ya Mungu,ule ni mtego wa kifo upo muda wote pale.
Watakupa majibu kama ya kule ilipotokea ajali ya Majinja, shimo dogo barabarani halikuzibwa kwa miaka mingi ila kwa sekunde kadhaa liliua watu 40+
 
Depopulation strategy
 
Watakupa majibu kama ya kule ilipotokea ajali ya Majinja, shimo dogo barabarani halikuzibwa kwa miaka mingi ila kwa sekunde kadhaa liliua watu 40+
Dah, ile ajali sitokaa nisahau. Ile sehemu nikipita huwa napaangalia sana
 
Hii barabara ya Nzg-Tnd-Shy-Mza ni balaa tupu. Waangalie namna ya kuunda parking za malory badala ya kuyalaza pembeni ya barabara kulia na kushoto na kuacha sehemu ya kupitia tu. Juzi nimekuta kimeumana. Malory yamepiga pin njia imebaki moja. Kila mtu anataka apite kwanza. Hiyo foleni ilikuwa kama Dar. Sie wa gari ndogo tuliteseka. Maana ukileta ujuaji unaweza kusogezewa tela ukajikuta uvunguni tu
 
Pole sana Mkuu...wanaona na hawana muda.

Hii Nchi mapato yapo mengi sana kupitia barabara.Sema tu akili za kumeza madesa madarasani zinatufanye tusione hivyo vitu.
Sehemu ya kufika kwa dk 40,unatumia masaa 6 mpaka saba.
Juzi kulitokea ajali Tanga ya zile Tunker,watu walikaa 8Hrs wanasubiri kupita..fikiria hiyo ni njia kuu ya Kaskazini na Nchi za Jirani kule.

Hela za kujenga barabara zipo ni vipao mbele tu hatuna kichwani.

Tumekaa kiroho mbaya mbaya...
 
Changamoto sana mkuu

Yaani unakuta sehemu ina maeneo mengi ya wazi wanaweza kujengabparking na kuchukua ushuru vizuri kabisa, ila wanaacha magari yalale barabarani. Huu ujinga ni wa Millennium
 
Changamoto sana mkuu

Yaani unakuta sehemu ina maeneo mengi ya wazi wanaweza kujengabparking na kuchukua ushuru vizuri kabisa, ila wanaacha magari yalale barabarani. Huu ujinga ni wa Millennium
Ukisafiri Bongo na Private Mkuu ni kuwa makini tu,hasa hizo barabara.

Watu hawana muda na Nchi yao.

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ nimewahi jichanganya Tunduma nikasema Bwana Mungu wa Majeshi huku hapana japo kuna pesa,yale Malori ya Tinde cha MtotoπŸ˜€πŸ˜€
 
kiukweli na bila kupindisha maneno kuna uzembe hasa wa hawa TANROADS katika kuziba mashimo,kufyeka pembezoni mwa barabara nk. ila serikali kuu inafanya kila liwezekanalo kujenga angalau hizi barabara tunazozipigia kelele kila uchao, nchi ni kubwa,watu ni wengi,mahitaji makubwa,mapato ni madogo. madawa hosp.,mishahara na posho za watumishi,miradi ya maendeleo nk yote yanafanywa na serikali kuu,tushukuru kwa barabara hizi tulizonazo.
 
Kuna vitu vinawezekana kabisaa kufanyika ni uhuni uhuni tu.

Cha ajabu Tanroads wako kila Mkoa..sijui wanafanya kazi gani hasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…