Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
I have a dream kama alivyosemaga miaka hiyo Martin Luther King mpigania Haki za Watu Weusi nchini Marekani.
Nami nina ndoto. Ipo siku na haipo mbali, nukuu hii itatumika kama alama ya ujasiri, ukombozi na uzalendo kwa Watanzania.
Kwenye vyombo vya dola wakiiona Watasema alikuwepo huyu mtu alisema haya nasi hatuna budi kufanya haya ili Nchi ipone.
Wanafunzi watafundishwa nukuu hii mashuleni na vyuoni ili kufundishwa kiukweli nini maana ya uzalendo, kusimamia ukweli na kulipenda Taifa lako!
Ipo siku