Ipo siku nukuu hii itatumika kama alama ya Ukombozi wa kweli kwa Watanzania! Itatumika kama alama kuu ya Uzalendo kwa Taifa!

I have a dream kama alivyosemaga miaka hiyo Martin Luther King mpigania Haki za Watu Weusi nchini Marekani.

Nami nina ndoto. Ipo siku na haipo mbali, nukuu hii itatumika kama alama ya ujasiri, ukombozi na uzalendo kwa Watanzania.

Kwenye vyombo vya dola wakiiona Watasema alikuwepo huyu mtu alisema haya nasi hatuna budi kufanya haya ili Nchi ipone.

Wanafunzi watafundishwa nukuu hii mashuleni na vyuoni ili kufundishwa kiukweli nini maana ya uzalendo, kusimamia ukweli na kulipenda Taifa lako!

Ipo siku

View attachment 3425817
Huu ndio wakati Mungu Anamtengeneza kuwa shujaa yule wa kuikomboa Tanganyika... Amina nakwambia Lissu atakae rudi uraia ni moto... CCM watajutraaa.... Jamaa kanolewa barabara... Huyu ndio tumaini la wa Tanganyika! 🙏
 
I have a dream kama alivyosemaga miaka hiyo Martin Luther King mpigania Haki za Watu Weusi nchini Marekani.

Nami nina ndoto. Ipo siku na haipo mbali, nukuu hii itatumika kama alama ya ujasiri, ukombozi na uzalendo kwa Watanzania.

Kwenye vyombo vya dola wakiiona Watasema alikuwepo huyu mtu alisema haya nasi hatuna budi kufanya haya ili Nchi ipone.

Wanafunzi watafundishwa nukuu hii mashuleni na vyuoni ili kufundishwa kiukweli nini maana ya uzalendo, kusimamia ukweli na kulipenda Taifa lako!

Ipo siku

View attachment 3425817
Mtu pekee kwa sasa ambaye hataki pesa za mama ushungi
 
I have a dream kama alivyosemaga miaka hiyo Martin Luther King mpigania Haki za Watu Weusi nchini Marekani.

Nami nina ndoto. Ipo siku na haipo mbali, nukuu hii itatumika kama alama ya ujasiri, ukombozi na uzalendo kwa Watanzania.

Kwenye vyombo vya dola wakiiona Watasema alikuwepo huyu mtu alisema haya nasi hatuna budi kufanya haya ili Nchi ipone.

Wanafunzi watafundishwa nukuu hii mashuleni na vyuoni ili kufundishwa kiukweli nini maana ya uzalendo, kusimamia ukweli na kulipenda Taifa lako!

Ipo siku

View attachment 3425817
Inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom