Ipo siku Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa Tanzania, ni suala la muda tu

Jimbo aliloliongoza tundu lisu miaka 10 hajaliletea maendeleo yeyote hakuna hata maji je nchi anaweza kuileteaje maendeleo?
Nchi inakusanya kodi na kuzituma kwenye msjimbo. Anayetuma alishasema hadharani mkichagua wapinzani hapeleki kitu. sasa lissu angefanyake licha ya kupaza sauti akaishia kulambwa masasi awahishwe kuzimu. Mungu akakataa ili ukuu wake utamalaki.
Kwa hiyo ikiwa kweli ni mapenzi ya mola binadamu atazuiaje pengine atawahi tu kuzimu

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Tena walivyowashezi wakipanga Hadi jinsi ya kumzika kesho yake tu. MUNGU AKASEMA ATATANGULIA ANAYETAKA WEZIE WAFE. LISU NAMUIFADHI. hizo hasira kwa Lisu siyo za bure Mkuu wanalaumu Hadi MUNGU kumponya LISU yaani wanamuona MUNGU KAMA MBAYA WAO
 
Na ole wao wanao kejeli Ishara ya Mungu kwa Taifa alilionesha kwenye TUKIO LA LISSU ...OLE WAO!
 
Lissu is not prone to advice , Lissu a potential dictator.


..linapokuja suala la kutetea haki yake Lissu huwa mbogo na huwezi kumshauri arudi nyuma.

..ndio maana Lissu alipokuwa Nyamongo wakati wa kampeni alikuwa tayari msafara wake upigwe MABOMU ya machozi kuliko kutii amri za Polisi.

..Magufuli alikuwa na hulka ya ukatili. Na udikteta wake uliambatana na matendo ya kikatili ya serikali yake.

..Lissu ni mwanasiasa asiyeamini ktk matumizi ya mabavu / dola dhidi ya wasiokubaliana naye.
 
una ushahid kuwa magu ndiye aliye mshambulia? hayo mastori&chuki zenu mliyokalilishwa na kigogo mtaacha lin? ona sasa kawasaliti now mmebaki kusambaza porojo na chuki zakijinga
Ni punguani tu (kama ww) ndiye asiye taka kukubaliana na ukweli kwamba zile MVUA ZA RISASI ilikuwa ni amri toka kwa magu. Jambo la kufurahisha ni kwamba tayari ameshapigwa kofi na Mwenyezi Mungu.
 
Kwahiyo miaka yote ya ubunge wa Lisu raisi alikuwa hayati Magufuli ee?
 
Dah, tuna ndoto tofauti; unajua mi namuona mtoa mada ndo raisi ajae!! Ngoja tus8biri ndoto ipi itakuwa kweli
 
Yaani tuwe na rais shoga Tanzania kweli? Hii sasa itakuwa balaa.
 
Nenda huko. Heri kumchagua mbwa au inzi awe rais kuliko chizi huyu. Kama wewe ni yeye au amekutuma, pole sana. Tanzania itawaliwe na kichaa kweli tutapona?
 
Kazi iliyo ngumu ni kuiondoa ccm, mambo mengi yangeenda sawia
je anaweza kugombea kupitia ccm?

Tusisahau hiki chama ndio mwiba wa mambo yote
Waswahili wanasema ndege mjanja hunaswa na tundu bovu. Hawa CCM watakuja kuondoka kiulaini sana kuliko tunavyofikiria. Nani alifikiria mwendazake na watu wake wasiojulikana wangekuwa historia leo hii? MUNGU FUNDI, ili mradi watu wanataka mabadiliko, yatakuja tu! Kama tawala za Kaizali, Hitler, Amini, Kaburu, Sadam, Gadaffi, KANU, Mobutu n.k. ziliisha na enzi za CCM zitaisha.
 
Hata hivyo, CCM hawatanaswa na Tundu lissu na wezi wenzake mwanangu
 
Hapo umetoa maoni kama hayawani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…