The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
.Kwa namna ya matendo yake hata mtu yeyote angeweza kushika nafasi yake. Nguvu zake zilikuwa dola na zana zake.
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.Kwa namna ya matendo yake hata mtu yeyote angeweza kushika nafasi yake. Nguvu zake zilikuwa dola na zana zake.
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Nchi inakusanya kodi na kuzituma kwenye msjimbo. Anayetuma alishasema hadharani mkichagua wapinzani hapeleki kitu. sasa lissu angefanyake licha ya kupaza sauti akaishia kulambwa masasi awahishwe kuzimu. Mungu akakataa ili ukuu wake utamalaki.Jimbo aliloliongoza tundu lisu miaka 10 hajaliletea maendeleo yeyote hakuna hata maji je nchi anaweza kuileteaje maendeleo?
Wewe ni mgeni Tanzania?Hizo kura unapiga wewe mwenyewe, Lissu kwanini hawezi kuwa rais?
Ndiyo mlipanga auwawe kesho azikwe chapi singida Mwenye MBINGU AKAKATAAHangaya ni mbovu lakini ni mara elfu mia ikulu ibaki tupu kuliko lisu kuongoza taifa letu.
Tena walivyowashezi wakipanga Hadi jinsi ya kumzika kesho yake tu. MUNGU AKASEMA ATATANGULIA ANAYETAKA WEZIE WAFE. LISU NAMUIFADHI. hizo hasira kwa Lisu siyo za bure Mkuu wanalaumu Hadi MUNGU kumponya LISU yaani wanamuona MUNGU KAMA MBAYA WAONchi inakusanya kodi na kuzituma kwenye msjimbo. Anayetuma alishasema hadharani mkichagua wapinzani hapeleki kitu. sasa lissu angefanyake licha ya kupaza sauti akaishia kulambwa masasi awahishwe kuzimu. Mungu akakataa ili ukuu wake utamalaki.
Kwa hiyo ikiwa kweli ni mapenzi ya mola binadamu atazuiaje pengine atawahi tu kuzimu
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
nimecheka nimefurahi kweli muuza mfuko anataharuki kumwona mpona risasi mungu huyu
Lissu is not prone to advice , Lissu a potential dictator.
Ni punguani tu (kama ww) ndiye asiye taka kukubaliana na ukweli kwamba zile MVUA ZA RISASI ilikuwa ni amri toka kwa magu. Jambo la kufurahisha ni kwamba tayari ameshapigwa kofi na Mwenyezi Mungu.una ushahid kuwa magu ndiye aliye mshambulia? hayo mastori&chuki zenu mliyokalilishwa na kigogo mtaacha lin? ona sasa kawasaliti now mmebaki kusambaza porojo na chuki zakijinga
Mpeni uenyekiti wa ChademaMtu anayejua kujifanya anajua huku akifuata sheria za nchi hatuna shida naye , Magufuli alijifanya anajua huku HAJUI LOLOTE , usimfananishe na Lissu
Kwahiyo miaka yote ya ubunge wa Lisu raisi alikuwa hayati Magufuli ee?Nchi inakusanya kodi na kuzituma kwenye msjimbo. Anayetuma alishasema hadharani mkichagua wapinzani hapeleki kitu. sasa lissu angefanyake licha ya kupaza sauti akaishia kulambwa masasi awahishwe kuzimu. Mungu akakataa ili ukuu wake utamalaki.
Kwa hiyo ikiwa kweli ni mapenzi ya mola binadamu atazuiaje pengine atawahi tu kuzimu
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Yaani tuwe na rais shoga Tanzania kweli? Hii sasa itakuwa balaa.Sijui nitakua hai au nitakua nimekufa lakini nawaambia kuna siku lissu atakuja kuwa Rais wa JMT
Huyu ndo atakuja kuliponya hili taifa dhidi ya matatizo yote tuliyopitia
Mimi namuombea nguvu, uzima na afya tele tu najua ni suala la muda tu
Ila Watanzania tuna matatizo makubwa aisee hivi unaanzaje kumnyima mtu km lissu kura unampa jiwe?
Haya mlimtukana lisu kwamba ni kibaraka wa mabeberu. Swali la kichonganishi niwaulizeni sahivi kati ya Lisu na Hangaya ni yupi anawasujudia mabeberu miguu?[emoji23][emoji23][emoji23]Unajua vijana wa mataga sijui huwa mnawaza vipi aisee
Huko mnakopewa mikopo kila kukicha, misaada na chanjo za bure, ky na lubricants nyingine kwa ajili ya hospital hao ndo wajamaa wenzenu au[emoji23][emoji23]si mabeberu jamani. Sasa hapo anayetumiwa na mabeberu ni hangaya au Lissu? Mnasema lisu alikua anazunguka kwa mabeberu huyo hangaya safari zake za nje majuzi alikua kwa kina nani?[emoji1787] Sasa kwanini hajawatembelea wajamaa wenzenu china na korea ya kaskazini?
Lissu anachokifanya kwa kiswahili inaitwa "mtumikie kafiri upate mradi" Sasa kama mlikua hamjui ndo mjue sasa lisu anatengeneza njia ya kisiasa na mafanikio kwetu sote nyie mnazidi kukopa kwa mabeberu hao hao na wamepora madini yetu na gas matatizo yote haya mliyaleta nyie CCM
Nenda huko. Heri kumchagua mbwa au inzi awe rais kuliko chizi huyu. Kama wewe ni yeye au amekutuma, pole sana. Tanzania itawaliwe na kichaa kweli tutapona?Sijui nitakua hai au nitakua nimekufa lakini nawaambia kuna siku lissu atakuja kuwa Rais wa JMT
Huyu ndo atakuja kuliponya hili taifa dhidi ya matatizo yote tuliyopitia
Mimi namuombea nguvu, uzima na afya tele tu najua ni suala la muda tu
Ila Watanzania tuna matatizo makubwa aisee hivi unaanzaje kumnyima mtu km lissu kura unampa jiwe?
Haya mlimtukana lisu kwamba ni kibaraka wa mabeberu. Swali la kichonganishi niwaulizeni sahivi kati ya Lisu na Hangaya ni yupi anawasujudia mabeberu miguu?[emoji23][emoji23][emoji23]Unajua vijana wa mataga sijui huwa mnawaza vipi aisee
Huko mnakopewa mikopo kila kukicha, misaada na chanjo za bure, ky na lubricants nyingine kwa ajili ya hospital hao ndo wajamaa wenzenu au[emoji23][emoji23]si mabeberu jamani. Sasa hapo anayetumiwa na mabeberu ni hangaya au Lissu? Mnasema lisu alikua anazunguka kwa mabeberu huyo hangaya safari zake za nje majuzi alikua kwa kina nani?[emoji1787] Sasa kwanini hajawatembelea wajamaa wenzenu china na korea ya kaskazini?
Lissu anachokifanya kwa kiswahili inaitwa "mtumikie kafiri upate mradi" Sasa kama mlikua hamjui ndo mjue sasa lisu anatengeneza njia ya kisiasa na mafanikio kwetu sote nyie mnazidi kukopa kwa mabeberu hao hao na wamepora madini yetu na gas matatizo yote haya mliyaleta nyie CCM
Waswahili wanasema ndege mjanja hunaswa na tundu bovu. Hawa CCM watakuja kuondoka kiulaini sana kuliko tunavyofikiria. Nani alifikiria mwendazake na watu wake wasiojulikana wangekuwa historia leo hii? MUNGU FUNDI, ili mradi watu wanataka mabadiliko, yatakuja tu! Kama tawala za Kaizali, Hitler, Amini, Kaburu, Sadam, Gadaffi, KANU, Mobutu n.k. ziliisha na enzi za CCM zitaisha.Kazi iliyo ngumu ni kuiondoa ccm, mambo mengi yangeenda sawia
je anaweza kugombea kupitia ccm?
Tusisahau hiki chama ndio mwiba wa mambo yote
Hata hivyo, CCM hawatanaswa na Tundu lissu na wezi wenzake mwananguWaswahili wanasema ndege mjanja hunaswa na tundu bovu. Hawa CCM watakuja kuondoka kiulaini sana kuliko tunavyofikiria. Nani alifikiria mwendazake na watu wake wasiojulikana wangekuwa historia leo hii? MUNGU FUNDI, ili mradi watu wanataka mabadiliko, yatakuja tu! Kama tawala za Kaizali, Hitler, Amini, Kaburu, Sadam, Gadaffi, KANU, Mobutu n.k. ziliisha na enzi za CCM zitaisha.
Ninamtetea Tundu Lissu kwa namna alivyoshambuliwa na Magufuli kwa risasi 16 pale Dodoma mwaka 2017. Ule ulikuwa ni ukatili wa hali ya juu.
Nimemuona Tundu Lissu kwenye kampeni za 2020 na nilimpigia kura japo Magufuli aliiba zote. Lakini kwa namna nilivyomuona Tundu Lissu kwa miezi hii 6 iliyokwisha, NATHUBUTU kusema akipata urais atakuwa kama Magufuli tu.
Wanafanana vitu vingi na Magufuli, eeh Mungu liepushe Taifa letu lisipate Magufuli mwingine
Mtu anayejua kujifanya anajua huku akifuata sheria za nchi hatuna shida naye , Magufuli alijifanya anajua huku HAJUI LOLOTE , usimfananishe na Lissu
una ushahid kuwa magu ndiye aliye mshambulia? hayo mastori&chuki zenu mliyokalilishwa na kigogo mtaacha lin? ona sasa kawasaliti now mmebaki kusambaza porojo na chuki zakijinga
Ndiyo ukweli wenyewe, Lissu anaropoka sana na hana uvumilivu kwa mawazo mbadalaUmeanza vizuri ila umemaliza kwa uongo